wanawake siyo.

wanawake siyo.

Mtu kaomba ushauri nyie mnaanza kashifa si ubinadamu bt all in all only God know,ndiyo kauli ya jamaa anayoisema,jamaa hatunzwi na mwanamke kama mnavyodhan anajitegemea na msosi ananunua na kodi ya chumba anatoa na aliyetaka waish wote ni demu mwenyewe over! Out of hapo endeleen na kashfa zenu wanawake hamna shukran dunian hapa tunapta tu,nyambafu pesa ztakufksha wapi?jamaa yng namuonea huruma he is a man of ze people.

usigeneralize kaka, km jamaa yako kapata bahati mbaya ya kupata dem kimeo sio wote wenye tabia hizo. Wanaume pia wapo wasio na shukrani km huyo dada.
Cha msingi jamaa yako afungue akili kuwa kadondokea pabaya so achape mwendo. Sio mda wa kubebana huu kwa mtu asiekupenda eti unamvumilia na unampenda. Upole mwingine ni kama ufala na uzumbukuku. Achemshe akili yake kabla hajampa mimba maana atajikuta anazidi kuzubalia hapo.
 
Mwanamke "RAFIKI YAKE NI HELA",Kuwa na kipato kizuri ili ikusaidie pia kulinda heshima na maisha mbele...unafikiri vitu vizuri hawavioni?hawavitamani,halafu yeye ndo analeta home kwa jasho....acha utani bwana na hii kitu.

acha kufikiri kwa kutumia visigino jamaa hafugwi anatempo anapga chakula wananunua wote kodi wanalpa wote ndvyo walivyokubaliana mpaka hapo jamaa atakapopata kaz ya uhakika,jamaa analpwa 250,000
kwa mwez so inatosha kupata basic needs paspomtegemea mtu uwe mwelewe wewe.
 
usigeneralize kaka, km jamaa yako kapata bahati mbaya ya kupata dem kimeo sio wote wenye tabia hizo. Wanaume pia wapo wasio na shukrani km huyo dada.
Cha msingi jamaa yako afungue akili kuwa kadondokea pabaya so achape mwendo. Sio mda wa kubebana huu kwa mtu asiekupenda eti unamvumilia na unampenda. Upole mwingine ni kama ufala na uzumbukuku. Achemshe akili yake kabla hajampa mimba maana atajikuta anazidi kuzubalia hapo.

samahan kwa ku-generalize bt mimba demu anayo tena ya miezi 3,sema huyu mwanamke ni kimeo tu.
 
dahhhh! pole yake huyo jamaa yako, ila iko hivi mwanmke yyte katka kizazi hiki cha nyoka yupo KIMASLAHI ZAIDI kubali uckubali,mwanamke huyo alikuwa kimaslah kaona jama hamkidhii mahitaji yake anamuona ----- PILI iko ivi pia UKIONA UNAPENDWA UJUE KUNA ----- KATENDWA NA UKIONA UNATENDWA UJUE KUNA ----- KAPENDWA huyo ccta kuna mtu kampata, afu ukiwa na mke,mpenzi au hawala ulokole na uokovu uuweke pembeni mana wanawaake ni pasua kichwa wanatumia udhaifu ulionao kukutesa kimapenzi... mwambie jama akaze buti na maisha yake ananafasi nyingi kimapenzi kw wengine
 
Kama jamaa anaondoka mwambie safari njema, ila asimsahau mwanae kama kweli ni mimba yake!! kuanza upya sio ujinga!!
 
wala asiwe mnyonge yeye sio wa kwanza wala wa mwisho, kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa!! still life goes on....!!
 
kweli mkuu.
 
Duh, kumbe ana ujauzito
mkuu?! basi, labda ana hasira za mimba!! si unajua wanawake wakiwa
pregnant wanasumbua?!

Baada ya kumaliza matusi yote kwa wanawake.
 
Kama jamaa anaondoka mwambie safari njema, ila asimsahau mwanae kama kweli ni mimba yake!! kuanza upya sio ujinga!!

jamaa kasema ile ni damu yake hata hlo demu lnathibtsha hlo. Hakika Mungu atampgania atashnda hli pto na hakika hawez mwacha mwanae.
 
Fadhila mfadhili mbuziiii Utamnywa mchuziiiii! Binadamu wana mauziiii!!!!!!!!! How Could She be so Heartless!!!!!!!!??????????

Mi bwana ndo maana Mwanaume asie na kitu simtakagi kabisaaaaaaa!!!!!!! Mambo ya kumfuga mtu wee akipata anakuona si hadhi ya tena!

I ALWAYS WANT MY MAN IN A COMPLETE PACKAGE!!!!!! (Brains! Looks! Character and Money) Mambo ya kuanza wote from scratch yalikuwa zamani zam za kibanga kumpiga mkoloni!!!!!!!
Hapo kwenye red inatakiwa ujipange sana maana inaweza ikakuchukua karne nzima bila mtu wa namna hiyo kutokea na akitokea jua huyo si wako peke yako.Anyway muombe Mungu maana mimi naamini Mungu anafanya njia pasipo na njia so keep on praying
 
wala asiwe mnyonge yeye sio wa kwanza wala wa mwisho, kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa!! still life goes on....!!

good advice. Am going to tell him.
 
sio matusi Ennie that is realliaty, tatizo ninyi wanawake hampendi kuambiwa ukweli, mnataka kila siku msifiwe tu WAZURI.
 
sasa alichofanya huyo mwenzako wewe unaunga mkono?! hamtaki mkosolewe?! au ndio na wewe una akili kama za Lara1 ?!
 
sio matusi Ennie that is realliaty, tatizo ninyi wanawake hampendi kuambiwa ukweli, mnataka kila siku msifiwe tu WAZURI.

achana na huyu mwanamke always women are devil, cheki walimuua Samson,walimsaliti Adam.
 
samahan kwa ku-generalize bt mimba demu anayo tena ya miezi 3,sema huyu mwanamke ni kimeo tu.

uwiiiiiiiiiii na hiyo tabia kaanza kuionyesha baada ya kupata mimba au kabla? Km ni baada ya kupata mimba basi jamaa yako awe mpole maana mimba zingine zinakuja kwa staili hiyo mwanzon, kisirani mwanzo mwisho. Amvumilie tu mpk hali itakavojirudi. Lkn km alianza before kupata mimba basi acjape lapa.
 
Toka ktambo kabla hata ya mimba mwanamke yule ni domokaya,sjui ana laana.
 
Siku zote huwa nasema, ukitaka kumsaidia mtu, saidia usitegemee akurudushie kitu, you'll end up being disappointed. Mtu akiwa na shida anaweza kulala hata na shetani, tabia halisi ya mtu huonekana akiwa na nguvu(power)
 
Fadhila mfadhili mbuziiii Utamnywa mchuziiiii! Binadamu wana mauziiii!!!!!!!!! How Could She be so Heartless!!!!!!!!??????????

Mi bwana ndo maana Mwanaume asie na kitu simtakagi kabisaaaaaaa!!!!!!! Mambo ya kumfuga mtu wee akipata anakuona si hadhi ya tena!

I ALWAYS WANT MY MAN IN A COMPLETE PACKAGE!!!!!! (Brains! Looks! Character and Money) Mambo ya kuanza wote from scratch yalikuwa zamani zam za kibanga kumpiga mkoloni!!!!!!!
Naomba unisamehe kwa kukudhania ya kuwa una akili kumbe hamzo..!
 
Naomba unisamehe kwa kukudhania ya kuwa una akili kumbe hamzo..!

we wanawake akili wameztoa wapi? Huoni wanatembea uchi,huon eti kwao maisha na pesa hvyo akikupenda na hela zako bt aktokea mdau mwngn mwenye pesa nyng we unakuwa ----, umbwa kabhisa hawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom