mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Dec 1, 2011 #21 yaaani nilivoikimbilia hii siredi ka speed ya light afu nakutana na hivi
N Nzowa Godat JF-Expert Member Joined Jun 15, 2011 Posts 2,785 Reaction score 823 Dec 1, 2011 #22 Any way! wanawake na wanaume wote ni wana-Adamu au bin-Adamu, na mbinguni hakuna wa kike au wa kiume wote wanakuwa kama malaika walivyo.
Any way! wanawake na wanaume wote ni wana-Adamu au bin-Adamu, na mbinguni hakuna wa kike au wa kiume wote wanakuwa kama malaika walivyo.
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,322 Reaction score 9,771 Dec 1, 2011 #23 hata sensa iliyokuwa inafanyika zamani haikuhusisha wanawake na watoto, ilikuwa ni wanaume tu, ndo maana leo hii tuna siku ya wanawake duniani.
hata sensa iliyokuwa inafanyika zamani haikuhusisha wanawake na watoto, ilikuwa ni wanaume tu, ndo maana leo hii tuna siku ya wanawake duniani.
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,322 Reaction score 9,771 Dec 1, 2011 #24 japo wanaoaminika sana kwa uhodari vitani ni wanaume lakini wanawake ni majushaa zaidi katika vita, usiniulize kivipi.
japo wanaoaminika sana kwa uhodari vitani ni wanaume lakini wanawake ni majushaa zaidi katika vita, usiniulize kivipi.
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,738 Dec 1, 2011 Thread starter #25 Nzowa Godat said: Any way! wanawake na wanaume wote ni wana-Adamu au bin-Adamu, na mbinguni hakuna wa kike au wa kiume wote wanakuwa kama malaika walivyo. Click to expand... Hivi Malaika ni wa jinsia gani? kwa majina tu Gabriel,Mikael....na yule muasi Yusufeli.....
Nzowa Godat said: Any way! wanawake na wanaume wote ni wana-Adamu au bin-Adamu, na mbinguni hakuna wa kike au wa kiume wote wanakuwa kama malaika walivyo. Click to expand... Hivi Malaika ni wa jinsia gani? kwa majina tu Gabriel,Mikael....na yule muasi Yusufeli.....
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,616 Reaction score 64,474 Dec 1, 2011 #26 Dena Amsi said: Kaacha kuvuta Bangi Kaokoka siku hizi Click to expand... Sijui kama kweli kaokoka, ngoja tuone anavyokuja.
Dena Amsi said: Kaacha kuvuta Bangi Kaokoka siku hizi Click to expand... Sijui kama kweli kaokoka, ngoja tuone anavyokuja.
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Dec 1, 2011 #27 Dah Yo Yo nilikuwa naandaa mashambulizi...
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 12,046 Reaction score 12,542 Dec 1, 2011 #28 maliyamungu said: Si watu kabisa ndio mana wana siku moja duniani,siku ya wanawake duniani kati ya siku 365 za mwaka zingine zote 364 zakwetu. Kwe kwe kwe!! Click to expand... duh! Loolz...
maliyamungu said: Si watu kabisa ndio mana wana siku moja duniani,siku ya wanawake duniani kati ya siku 365 za mwaka zingine zote 364 zakwetu. Kwe kwe kwe!! Click to expand... duh! Loolz...
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 Dec 1, 2011 #29 yo yo leo kazi ipo
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 Dec 1, 2011 #30 Yo Yo said: Hivi Malaika ni wa jinsia gani? kwa majina tu Gabriel,Mikael....na yule muasi Yusufeli..... Click to expand... kuna MaSr. nawafaham mmoja anaitwa Gabriel na mwingine Sr. Timoth inakuwaje kuhusiana na majina yao na hao malaika
Yo Yo said: Hivi Malaika ni wa jinsia gani? kwa majina tu Gabriel,Mikael....na yule muasi Yusufeli..... Click to expand... kuna MaSr. nawafaham mmoja anaitwa Gabriel na mwingine Sr. Timoth inakuwaje kuhusiana na majina yao na hao malaika
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,948 Reaction score 13,378 Dec 1, 2011 #31 umewabip wana wa Beijing. Nalog off
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 Dec 1, 2011 #32 Dah!!,Wewe YO YO!!! Yani spidi nimeingia kwa spidi nikiwa nimevimba kwa ajili ya kukujibu, Lkn lol nimesoma humu na nguvu zimeniisha, Nakutakia siku njema.
Dah!!,Wewe YO YO!!! Yani spidi nimeingia kwa spidi nikiwa nimevimba kwa ajili ya kukujibu, Lkn lol nimesoma humu na nguvu zimeniisha, Nakutakia siku njema.
MADAXWEYNE JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,594 Reaction score 3,447 Dec 1, 2011 #33 maliyamungu said: Si watu kabisa ndio mana wana siku moja duniani,siku ya wanawake duniani kati ya siku 365 za mwaka zingine zote 364 zakwetu. Kwe kwe kwe!! Click to expand... na mama yako si mtu?
maliyamungu said: Si watu kabisa ndio mana wana siku moja duniani,siku ya wanawake duniani kati ya siku 365 za mwaka zingine zote 364 zakwetu. Kwe kwe kwe!! Click to expand... na mama yako si mtu?