- Thread starter
- #21
haaa haaa mie nnakitu kama ile ya mushi wa ufoo.
ukumbuke fadhila nilikutetea kwa yule jamaangu mkurya.
haaa haaa mie nnakitu kama ile ya mushi wa ufoo.
haaa haaa mie nnakitu kama ile ya mushi wa ufoo.
Hujui kuwa wivu ni moja ya attributes za mapenzi?
haaa haaa mie nnakitu kama ile ya mushi wa ufoo.
kama sio mkeo mambo ya nyumba za watu yanakuhusu nini? kwani umeombwa usuluhishi?
Umeoa nini? Wakati hujamaliza pirika na washkaji na vijiwe,mnataka muachwe mzurure weee kama mbuzi waliokata kamba?....
Ni kweli ni ingredient kwenye mapenzi ...... Lakini ukizidi ni taaabu kweli