Wanawake sijui kwanini hamuelewi…

Kipepe bhana inawezekana kashaona dalili za shemeji kujileta labda so anamuepuka, kuongea straight kwamba mama watoto mdogo wako ananitia majaribuni sio rahisi.
 
Kidini sio dhambi kwe quran kuna hii haya

"Na ambao wanazilinda tupu zao. Isipokuwa kwa wake zao au wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, kwani wao si wenye kulaumiwa."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…