ISLETS
JF-Expert Member
- Dec 29, 2012
- 8,121
- 5,332
Kwa staili ile ya popo hata milioni unatoa.Ametoka kunipa laki9 niongezee katñika mambo yangu...pia amenipa 200,000 ya kula ckukuu adi january bado vi20,30 havinipitii mbali
Wapo sana
Ila ni mwanaume sio mvulana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa vile wewe hauna ela utafikiri ni woteNajua Kuna wengine waongo waongo watasema Bado wanahongwa laki na kuendelea.lakini ukweli Ni kuwa kwa Hali halisi na uhakika kwa Sasa Tanzania yetu na hasa toka 2019 ianze hakuna mpenzi wa kuthubutu kukupa 30000 pap kwa Mara moja.sanasana amekuhonga labda li ten ambalo halina work.Mambo yame change sii utani,mtakoma.usawa huu tutaheshimiana Asante baba Magufuli umeturahisishia mambo Sasa hivi ukitoa hata 10000 tu mademu wanakutolea macho.
Povu linanitoka bure tu mimi tangu awamu hii imeanza sijawahi kuhongwa hata jero
Loooh! Ashakhum si matusi... Mambo benta kweli hata makopo ya kuokota na kuuza mtaani yamekuwa adimu awamu hii.Povu linanitoka bure tu mimi tangu awamu hii imeanza sijawahi kuhongwa hata jero
Sent using Jamii Forums mobile app
Loooh! Ashakhum si matusi... Mambo benta kweli hata makopo ya kuokota na kuuza mtaani yamekuwa adimu awamu hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujambo HARUFU mzima wewe, umeadimika sheikh wanguWote wazima hapa jamani?
Mimi nawasilimia tu.
Ni hayo tu
umejitoa kwenye jopo la wanaotudanganya mkuuPovu linanitoka bure tu mimi tangu awamu hii imeanza sijawahi kuhongwa hata jero
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani Akaunti zao zinasoma mkuu
Na test mitambo
Wanatuona wakuja sana Hawa mamanzi,Naona kila mmoja anajisifia kupewa malaki
Wakikua wataacha kulalamika
Mimi kwani kuna sehemu nilisema nimehongwa? Sikudanganya na natumaini hakuna anayedanganyaumejitoa kwenye jopo la wanaotudanganya mkuu
Na test mitambo
Nadhani hapa ndipo nilipo elewa tofauti na ulivyomaanishaUnaumwa wewe kama vyuma vimekaza kwako unafikiri kwa kila mtu aisee pambana na hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app