Wanawake semeni ukweli, usawa huu kuna mwanaume wa kukupa Tsh. 30,000?

Mm tangu wakat npo 20's nakmbuka kna jamaa aliniona facbook 2,yy alikuwa mtz anaishi nchi za Asia
Akatumaga m1 akanambia niwekee iyo
Ghafla gar yke akanambia tumia tumia popote hadi nikija.apo hajawai niona bado vtu vdogo vdogo.nlikuwa naleta poz nakumbuka kna jamaa flan akanambia ww ringa tu ukifika kuanzia 27 utakosa ata wa kukutongoza
Marafik zangu wa kike wenyew huwa wanashangaa san the way mtu anavyofungua poch na knpa ela .

But now npo btn 31-33 nna watoto wawili still bado vimilion havinipitii mbal.
Nlipokuwa nchi flan ivi ndan ya africa nkawa na mahusiano na mzawa wa iyo nchi.nkamuombaga 1.5 m akanijibu ntakupa.
Akarud ucku kalewa akanambia et nkupe ela yote iyo una **** ya dhahabu? Apo kalewa.asubuh nkamkumbusha kasema nsameh n pombe akanipa lak7.5 yan huo ndo ukawa mwsho wetu wa mahusiano nkahama kabsa mtaa.
Ndo nkakutana na mtanzania ambaye anaishi nchi iyo, tukaanza mahusiano nkamwambia dharau alzonletea nliyeachana naye.akanambia baby tulia within 1 month nakupa 1.5m ukafanye yako na kweli alinipa.
Na mwsho wa mwaka jana tena nkiwa nchi iyo iyo nina shoga yngu wa kike nlimwambia mm nkitaka ksafir ktoka hapa mshikaj hajawai nipa chin ya 1.5 alibisha sn et haiwezekan, novmbr tu apo 2018 kanipa.

Yan mm nkianza mahusiano na mtu nakusoma swaga zako nikiona si mtoaji kwa kwel nakuacha kimya kimya.
Na si kwamba ni mzur sn hapana npo kawaida tu japo nakumbuka marehemu mama yngu aliwai kusema kuna mzur na kuna mwenye mvuto. Ww mwanangu unavutia, unaweza kuwa mzuri ila usivutie,though hadi leo hii sijaelewa alimaanisha nn kat ya mzur na anayevutia

Hvyo wanaume watoaji wapo sana tu


Sent using Jamii Forums mobile app
Chai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom