Wanawake semeni ukweli, usawa huu kuna mwanaume wa kukupa Tsh. 30,000?

Najua Kuna wengine waongo waongo watasema Bado wanahongwa laki na kuendelea.lakini ukweli Ni kuwa kwa Hali halisi na uhakika kwa Sasa Tanzania yetu na hasa toka 2019 ianze hakuna mpenzi wa kuthubutu kukupa 30000 pap kwa Mara moja.sanasana amekuhonga labda li ten ambalo halina work.Mambo yame change sii utani,mtakoma.usawa huu tutaheshimiana Asante baba Magufuli umeturahisishia mambo Sasa hivi ukitoa hata 10000 tu mademu wanakutolea macho.
Kwa vile wewe hauna ela utafikiri ni wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom