ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,584
- 44,830
Najua kuna wengine waongo waongo watasema bado wanahongwa laki na kuendelea lakini ukweli ni kuwa kwa hali halisi na uhakika kwa sasa Tanzania yetu na hasa toka 2019 ianze hakuna mpenzi wa kuthubutu kukupa 30,000 pap kwa mara moja.
Sanasana amekuhonga labda elfu kumi ambayo haina kazi. Mambo yamebadilika si utani. Mtakoma na usawa huu tutaheshimiana.
Asante baba Magufuli umeturahisishia mambo sasa hivi ukitoa hata 10,000 tu wanawake wanakutolea macho.