Wanawake punguzeni uchafu huu mwilini unakera wanaume

Last KING Ontuzu

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
587
783
Wanawake wengi mjini ni wachafu kupindukia na sisi Wanaume tunawaona jinsi mnavyohangaika kujichafua ili tuwapende,mi nataka Muke tu kuwa sisi Wanaume tunaakili hatuwezi kuvutiwa na uchafu Bali tunavutiwa na Usafi wa mwanamke, Wanaojua definition ya uchafu watatuelewesha,

Nmezunguka Tanzania na vitongoji vyake vyote wanawake wengi wanashida hii ya uchafu sijui wanakwama wapi? ....

Mawigi hayawapendezi, mawigi ni mizigo kama vichaka vichwani,mawigi yananuka vibaya tunawavumilia tuu, Powder sasa usoni sijui ndo mnanitafutia makeup mtu anabadilika sura anageuka kuwa jini
Lipstick na marangi ya midomoni hayanajipya mnatupa kansa tuu coz unakuja unataka mate ww mdomo umeuchafua tunateseka ni sisi Wanaume

Siku hizi najikuta navutiwa na mwonekano wa wanafunzi wa kike Ila wale ni nyara za serikali jmn tusitafutiane matatizo.Acheni uchafu km Wewe ni sura mbaya ebu ridhika tuu na sura yako wapo watakaokupenda hivohivo
Km imewatouch am sorry nilikuwa nawaza tuu kwa sauti
 
Wangejua hayo mawigi yanakotoka yaani wangeacha kuvaa

Sawa mwinjaku wamekusikia
 
Watakuwa wamekuelewa,siku hizi raha sana mambo ya Jando na unyago hayapo,tunapeana vipande vyetu humu kwenye social media mpaka tunakaa kwenye mstari,asante teknolojia...
 
Tafuta mwanamke mmoja ambae hana huo uchafu tulia nae.

Huwezi kupangia watu waishi unavyotaka wewe hlf kila mtu na interest yake wewe hutaki pengine kuna wanaopenda.

Haya maisha mafupi yanini kujichosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom