Wanawake punguzeni ku edit picha zenu

Wanawake punguzeni ku edit picha zenu

Kweli rafiki umefanya vema make nilipoiona nikakujua rafiki. .life limekabaaa majukumu nayo mengi Yani humu naonekana kwa machale sikuhizi..nipo njema sana mamy


Cc Smart911
Majukumu mengi hayazuiliki saa ingine rafiki. Nafurahi kusikia uko njema.

Haya uwe na asubuhi njema rafiki. 🙏🙏🙏
 
Aisee hili lina ukweli,kuna mdada moja nilikuwa namuona kwenye picha white kabisa,siku nilipomuona ni black na ana mabaka sasa sijui hata yale mabaka anatoaje...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ww makonda na huyo smartphone mtaacha tuu.....had kwenye salam unatamtag smart dooh
 
ww makonda na huyo smartphone mtaacha tuu.....had kwenye salam unatamtag smart dooh
 
Nilishawahi kulivagaa miaka kadhaa iliyopita,
Picha zake zote anapiga selfie, siku ya kuja kumuona loooh sio kwa mabonde na maporomoko yale, uzuri aliona mshtuko na mfadhaiko wangu, akasema tuwe marafiki wa kawaida.
Hahahaaaaaaaaaa

Kama nakuona vile namna uliishiwa pozi kwa ulichokiona mbele yako
 
😆😆😆😆 mtu anaedit mpk nyama za kiungo kingine zinahamia kwingine anabakia kama kilema
 
Mi naedit sana tuu we kama unapenda muonekano si unanipotezea kila mtu ana mtu ake wanaeendana nae.
 
Mi naedit sana tuu we kama unapenda muonekano si unanipotezea kila mtu ana mtu ake wanaeendana nae.
Ha ha ha tafuta pesa uhonge wanaume km unasura mbaya au huna shape
 
Back
Top Bottom