Wanawake punguzeni ku edit picha zenu

Wanawake punguzeni ku edit picha zenu

Ndio maana sisi mabaharia enzi zeru tulikuwa tunajificha ukiona demu mwenyewe sepuka unazima simu unapita mbele yake unaishia akiwa mkali unampokea unaenda nae geto
Nilijisahau kidogo maana nilikuwa naham ya kukiona kisu kikali
 
Zimetengenezwa ili zitumike. Tuta explain tukikutana hamna namna. Na nikiwa nakuja nakuuliza kabisa umevaaje ili usinikimbie[emoji23][emoji23]
Hamuendi mbingun walah
 
Yaani kwangu aedit au asiedit ilimradi kawasiri mjengoni inapendeza.

Pia ndiyo maana siku hizi napenda mitongozo ya live
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bonge kawa mwembamba
 
Aisee hili lina ukweli,kuna mdada moja nilikuwa namuona kwenye picha white kabisa,siku nilipomuona ni black na ana mabaka sasa sijui hata yale mabaka anatoaje...
Mambo ya filter [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usicheze na beauty camera wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikusaidie kucheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi mamy kile cha mtume kilipita?
 
Madem wanao edit pic huwa wanaringa kinoma alafu ukimtongoza akakubali lazima akuchoshe kwa zile "mim ni wakawaida tu hzo ni pic tu" ili ujiandae mapema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo ya filter [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usicheze na beauty camera wewe
Mtu una pua kubwa kwa nini usiipunguze kiasi 😃😃😃😃beauty Camera.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mtu una pua kubwa kwa nini usiipunguze kiasi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]beauty Camera.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mimi nilivyo elewa shida ipo kwako wewe mzee mwenzangu utakuwa mfupi. Sasa mambo yameenda vise versa. Komaa nae tu kwanza umkule 😃
 
Kuna tipwa tipwa moja ova sanamu la Michelin lilitaka kuniingiza mkenge nikalizidi maarifa likabaki linaporomosha matusi kwenye simu
Hhaha mkuu hebu acha basi.. Hahah lile sanamu aisee ahah. Yani nikikutana na hiyo kadhia aisee hizo mbio nitakazotimua naweza kuitiwa mwizi😂😂
 
Back
Top Bottom