Wanawake punguzeni ku edit picha zenu

Kama huyo nae ka edit??
FB_IMG_1565679848487.jpeg
 
Ahaaaaaaaaaaaa loh nimecheka kama mazuri, ntaendaga hivi hivi, na kimini juu😂😂 ila cha heshima maana nguo ndefu navaaga kanisani tu.😁😁😁
 
Sana Mtani. Sababu saa nyingine naona wanamkosea Muumba tu kwani sidhani kama kuna mja ambaye kajiumba.

Pia anasahau kuwa siku zote uzuri wa mtu uko machoni mwa mtu na si ajabu kuna mwingine akafa na kuoza kwa huyo Dada.
Yes ni kweli kabisa.
Mtoa mada sijui anapatia wapi huo ujasiri.

Kuna methali ya wahenga inasema kabla hujafa hujaumbika.
 
Zimetengenezwa ili zitumike. Tuta explain tukikutana hamna namna. Na nikiwa nakuja nakuuliza kabisa umevaaje ili usinikimbie
Afu sijawahi kukutana na mtu for the first time ikawa tofauti na matarajio.yaan mule mule labda ikitokea huko mbeleni.😁.
 
Unakuta mdada mweusi kama chungu halafu uso una chunusi mithili ya fenesi ila mcheki kwenye profile sasa utadhani Beyonce alivyo edit picha. Siku hizi ukiona picha ya mdada nzuri mwambie akutumie OG yake
 
Kweli rafiki umefanya vema make nilipoiona nikakujua rafiki. .life limekabaaa majukumu nayo mengi Yani humu naonekana kwa machale sikuhizi..nipo njema sana mamy


Cc Smart911
Nipo rafiki. Pole sana naona umenisaka kila kona hunioni mpaka nikasema nirudishe hii Avatar huenda ukanikumbuka rafiki.

Mi sijambo kabisa rafiki. Umemisika tu mana siku hizi unaingia kwa kubeep beep tu. Wewe je Umzima?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom