Ndo safi hiyoo we mkule tu.M mrefu sana tuu sema urefu wake na mwili nyumba hatari mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu una pua kubwa kwa nini usiipunguze kiasi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]beauty Camera.
Kilipita love nimekusubiri pm ili tupange best.
Asante sana best Mungu akujalie nawe 😍.Woooooiii jamani kimenipita... Any way mola awajaalie kila lenye kheri inshaallah
Amen dear[emoji8][emoji8][emoji8]Asante sana best Mungu akujalie nawe [emoji7].
Anakuandaa kisaikolojia usije pata shambulio la moyoMadem wanao edit pic huwa wanaringa kinoma alafu ukimtongoza akakubali lazima akuchoshe kwa zile "mim ni wakawaida tu hzo ni pic tu" ili ujiandae mapema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikuwaje mkuu??Kuna tipwa tipwa moja ova sanamu la Michelin lilitaka kuniingiza mkenge nikalizidi maarifa likabaki linaporomosha matusi kwenye simu
Picha alizonitumia huwezi amini ni boonge moja la kifaa, nikapanga nalo miadi tukutane pale Kingdom Hotel likakubali, machale yakanicheza nikatega kwa tax moja ya driver wa pale nje, mida ilipowadia mara kwa mbali naona sanamu la Michelin hiloooo linaingia na simu yangu inaita nikapokea linanambia ndio naingia hapa mlangoni nimevaa suruali ya bluu na t-shirt nyeupe unaniona?Hhaha mkuu hebu acha basi.. Hahah lile sanamu aisee ahah. Yani nikikutana na hiyo kadhia aisee hizo mbio nitakazotimua naweza kuitiwa mwizi[emoji23][emoji23]
Hahahaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikuwaje mkuu??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hhaha mkuu hebu acha basi.. Hahah lile sanamu aisee ahah. Yani nikikutana na hiyo kadhia aisee hizo mbio nitakazotimua naweza kuitiwa mwizi[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungetafuta excuse tu mkuu..[emoji1787][emoji1787] ila nimecheka hapa nachora picha lilivyokua linaonekana"Bongee kubwa alaf refu nikajilaumu sana kwann nilikaa sehemu inayoonekana maana nilishindwa kumkimbia"
Pole sana...
Cc: mahondaw
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungetafuta excuse tu mkuu..[emoji1787][emoji1787] ila nimecheka hapa nachora picha lilivyokua linaonekana
Wenzako wapo kazini we unaremba?? na hapo kakupuna 20+k😉😉😉😎Yaaah chibonge sana nilivyokuwa natembea nae hatuendan m naonekana km mtoto
Nilishawahi kulivagaa miaka kadhaa iliyopita,Kuna tipwa tipwa moja ova sanamu la Michelin lilitaka kuniingiza mkenge nikalizidi maarifa likabaki linaporomosha matusi kwenye simu
Msitufanyie ivyoPicha alizonitumia huwezi amini ni boonge moja la kifaa, nikapanga nalo miadi tukutane pale Kingdom Hotel likakubali, machale yakanicheza nikatega kwa tax moja ya driver wa pale nje, mida ilipowadia mara kwa mbali naona sanamu la Michelin hiloooo linaingia na simu yangu inaita nikapokea linanambia ndio naingia hapa mlangoni nimevaa suruali ya bluu na t-shirt nyeupe unaniona?
Nikamwambia nimeshakuona nikaondoka zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli zilikuwa picha tu..Hahahaaaaaa
Tipwa tipwa mwili ghorofa maana sio nyumba tu, limejaziajazia minyama ova sanamu la Michelin
Nikabaki najiuliza mbona picha alizokuwa akinitumia haziko sawa na muonekano wake halisia? Japo ilokuwa nikimsifia anajifanya kujishusha kwa kusema hizo ni picha tu mbona me wa kawaida sana!