Wanawake: Pitieni hapa

Wanawake: Pitieni hapa

Hata maisha enzi zenu hayakua kama yalivo sasa
Binti umeongea sawa sawia, starehe zilikuwa kwa siri, maisha rahisi na gharama kama za gesti, urembo, matumizi, kuhonga magari na nyumba vilikuwa hakuna.
-Enzi zetu raha sana, tunakumbuka kwa machungu huku tunalia.
 
Ni ukweli mtupu, ila naona tabia ya wanawake kuomba hela hovyo ni wanaume wamewazoesha, kwa nini umpe kila siku bila sababu maalumu?? Atajifunza lini kutafuta za kwake?, na ndo maana huwa haumii kutoa laki ya saloon kwa kuwa hajui uchungu wa kutafuta hela
 
Binti umeongea sawa sawia, starehe zilikuwa kwa siri, maisha rahisi na gharama kama za gesti, urembo, matumizi, kuhonga magari na nyumba vilikuwa hakuna.
-Enzi zetu raha sana, tunakumbuka kwa machungu huku tunalia.
Wacha we!!!
 
nakupenda sana basi tu wewe mama .una akili sana mtu anakuita gest ukimwambia alipie tax anakuona mbaya hivi kuna mbaya au mzuri kwa case hii.hata kama ukilipia tax kumfata mwanaume gest si ujinga tu?
Sio kumfata tu guest kumpa mwili wako mwanaume ambaye siyo mumeo ni upunguani wa akili.
 
Ujumbe ulioletwa ni mzuri sana. Mzee mwenzangu enzi zetu wanawake hawakuwa hivi tunavyowaona mtaani kwa sasa.
Na wanaume wa enzi zile hawakuwa Kama wa sasa wameweka uzinzi mbele, hawakuwa na papara walifata kwa utaratibu.
 
Mi simuombi mwanaume vocha! Nikikosa vocha na kukaa kimya yeye mwenyewe ndo ajiguse kusema labda hana vocha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mind you, walengwa hapo ni mke na mume. Sio wapita njia au wasogeza siku
Sasa mtakaa tu mjikute mmeshakua mke na mume? Kwenye post amesema find u a certain type of a girl, so ni process ya kufind, in between unaweza kukutana na type hizo mbovu but ukikutana na hiyo nzuri ndo unaweka ndani. Hamkurupuki tu mkajikuta mmeshakua.
 
Unaweza fanya ivyo vyote na mwisho wa siku ukaambulia empty
 
Back
Top Bottom