Wanawake: Pitieni hapa

Wanawake: Pitieni hapa

Mind you, walengwa hapo ni mke na mume. Sio wapita njia au wasogeza siku
 
Kwahiyo mnamsema tena miss chagga...[emoji23][emoji23]
 
Huyo ndio mwanamke anayetakiwa ana uwezo hata wa kusimamia familia.
 
ukiskia kaul kama hzo kutoka kwa mwanamke wa kileo naona kama mwili unasisimka vile
Ujumbe ulioletwa ni mzuri sana. Mzee mwenzangu enzi zetu wanawake hawakuwa hivi tunavyowaona mtaani kwa sasa.
 
Back
Top Bottom