Wanawake: Pitieni hapa

Wanawake: Pitieni hapa

Hahahahaha! Imenibidi nicheke tu...jamani mwanaume ni mwanaume tu kamwe hatuwezi kubadili nature hii, na mwanamke ni mwanamke tu. Tatizo ni kwamba wanaume halisi siku hizi ni bahati kuwapata aisee.
Mkuu....
Hiki kizazi kilicho fytuliwa kwa mipango ya vidonge na sindano, ndio wahanga wakubwa wa hizi mambo
 
Pretty with brain. Where they make those at?..oh! outta Tanzania. Just playing.
 
Aah enzi hzo binti unamuona akienda kutafuta kuni au kuchota maji... ukimtaka unamalizna na wazaz unapata mke mwema kabisa
Ujumbe ulioletwa ni mzuri sana. Mzee mwenzangu enzi zetu wanawake hawakuwa hivi tunavyowaona mtaani kwa sasa.
 
kayaman,

Nimeusoma ni ujumbe muruwa kabisa lakini hayo yangefaa zaidi kwa mke na mume na si kwa uasherati na uzinzi.
nakupenda sana basi tu wewe mama .una akili sana mtu anakuita gest ukimwambia alipie tax anakuona mbaya hivi kuna mbaya au mzuri kwa case hii.hata kama ukilipia tax kumfata mwanaume gest si ujinga tu?
 
Wacheni uzinzi oaneni.
 
Back
Top Bottom