Wanawake ombaomba mtabaki kuchezewa


epuka kutoa ahadi za ndoa bila kufikiri utapoteza amani ktk ndoa yako na.kama ulikosea kwa maana ya kumuumiza mtu ktk ahadi rudi umuombe msamaha kilio chake Mungu atamsikia msamaha wako utakaa kwenye ndoa kwa amani jifunze mwanzo 25:29-31 nA waebrania12;16-17.usiuze uzaliwa wa kwanza ktk ndoa kirahisi utakuja kukosa amani usipotimiza ahadi.
 
kilichotokea ulimwonyesha unazo,akajua amepata pa kujionyeshea kwa wenzie,kama haujatuma usiende?hakuna mapenzi hapo au bado ni mtoto?nina hofu na umri wake,kama umempenda waweza mrekebisha kwa kutokumpa pesa hovyo,all the bes
 
kilichotokea ulimwonyesha unazo,akajua amepata pa kujionyeshea kwa wenzie,kama haujatuma usiende?hakuna mapenzi hapo au bado ni mtoto?nina hofu na umri wake,kama umempenda waweza mrekebisha kwa kutokumpa pesa hovyo,all the best
 
Ni kweli pesa ya mwanaume tamu?mbona wanawake wanakataa hela yangu?
 
Ukiona mtu anakuambia umemchezea, jua ulikuwa na 'mtoto wa kike':nod:, mwanamke mtu mzima hawezi sema hayo.
mbona wengine lakini watu wazima kabisa above 26 wanasema /kulalamika umenichezea.bure tu ningejua nisingekubali na blah blah nyingine nyingi.
 
MKUU pamoja sana alileta mambo ya kubeep na kukutikisia kiberiti??
sawasawa akikua nakujakulitambua kosa lake atajuata sana .
mwache aruke mabonanza bado umri wake unamruhusu ngoja amalize CHUO aingie kitaani kupigika then atajua kuwa alichezea ngekewa
 
tinna cute! Tuachen utan jaman hvi hatuna wazaz au walez wakututimizia basics needs zetu au ndo ulimboken wa mjini! I ril hate kuchuna buz, frankln spkn...!

Wazazi,, kaka wapo lkn mizinga lazma niipige ile mikubwa sio ya kitoto,,,,,, its good thing dia endelea na msimamo wako as for kuchuna lazima.
 
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat! Well what can i say?:A S embarassed:

Anyway the girl is an AMATEUR! Sawa anachuna but she has NO GAME, CLASS, STYLE, SKILLS, TALENT! NADAAAAAAA! She is a DISGRACE to WACHUNAJI SOCIETY!

Dooooooh!! Ugomvi?
 
Pia dawa ya wakaka wapenda papuchi ya bure ni kutokupokea simu zao na kuchapa lapa yaani waache shughuli zao za msingi kama kusimamia duka wakagawe bure. Pia wakaka wapenda vya bure watabaki kunyimwa (Ni utani usinielewe vibaya)
Mimi kama mwanaume tuache kuwachezea wadada kwa sababu "Msichana au mwanammke unayemchezea wewe leo ndio atakaye olewa na mimi au mwenzako sasa wewe utakaye muoa unajua anafanywa nini au namfanya nini" kumchezea mwanamke ni sawa na kumdhalilisha mwanaume mwenzio, hivi unajisikiaje ukigundua namchezea mwanamke ambae unataka kumuoa. Tuwapende dada zetu tumia kwa ustarabu na muhudumie ili mwenzio akute yupo katika hali nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…