Wanawake ombaomba mtabaki kuchezewa

mandingo6262

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2013
Posts
424
Reaction score
82
Habari zenu wadau, natumaini mko salama kabisa. Leo nimekuja na hili nijaribu kuwashirikisha.

Kuna mdada mmoja ni mwanafunzi wa chuo nilibahatika kukutana naye akiwa likizo mie naenda ofisini kwa gari langu yeye anawahi kupanda daladala aende kusimamia biashara za home kwao kwani yeye ndo binti wa mkubwa na mara nyingi huwa anasimamia biashara zao kipindi akiwa likizo.

Siku zikaenda nikawa nampa lift mara kadhaa na baadaye tukafikia kubadilishana namba za simu ili nikiwa natoka hom nimshtue.

Kabla ya hapo ashanipiga vimizinga vya vocha na hela ya saluni hata sijamtongoza, nikaja kumuuliza kama ana boyfriend au mchumba akadai kuwa hana nami nikamtania kwamba haiwezekani mrembo kama yeye aishi mwenyewe akacheka maisha yakaendelea nikamtongoza akakubali na siku nilipotaka mgegedo alikubali lakini tulipofika mahali pa tukio yalijitokeza yaliyo nje ya uwezo wetu na sikuweza gegeda.

Nilidhani nimepata mchumba lakini kwa staili hii ya mizinga naona hafai maana usipotuma vocha hupigiwi atakubip siku nzima ila ukituma dahh utapigiwa na kubembelezwa kama mtoto. Yaan huwezi kufurahia mapenzi yake kama hujatoa hela na kilichonikatisha tamaa zaidi ya yote ni pale nilipomwambia najenga. Anadai kuwa kama sina hela mafundi nawalipa vipi?

Mwishoni kataka nimtumie hela ya matumizi hostel nikamwambia asubiri kidogo nitamtumia lakini wakati huohuo mie nikapata safari ya kwenda Dar coz maisha yangu ni ya mkoani. Basi binti akadai kuwa usije bila kunitumia hiyo hela la sivyo hatutaonana.

Mie nilifanikiwa kupata hela hata kabla ya safari yangu lakini kwa ile kauli yake nilikereka sana na kutaka nione nisipotuma itakuwaje. Nikiwa najiandaa kutoka airport nilimtext kwamba ndo naruka kuja Dar naye hakujibu. Nilisafiri salama na nilivyofika Dar nikampigia naye hakupokea na nilipomtext hakujibu.

Nilifanya yaliyonipeleka na hatimaye nikarudi zangu mkoa.

Mhhhhhhh nimekaa na kufikiria sana juu ya hii tabia ya wengi wa wadada wanaotuzunguka,,,kwa staili hii kweli mtapata wachumba au waume wanaowapenda kweli? pesa mbele mapenzi nyuma. huyo ningekuja kuoa siku sina nyumba siingekuwa haikaliki? dadeki dawa ya wadada wapenda pesa ni kuwagegeda na kuchapa lapa yaani niache mipango yangu ya msingi kama ujenzi kisa nahonga...yelewi bado nitakuwepo sanaaa.
 
huyo wala sio mchumba kaka yangu kabisa anakuchuna tu, chapa lapa
 
Wakati unamchezea, yeye hakukuchezea hata kasehemu kamoja? What is kuchezea labda?

Kwa kifupi, mmegegedana, akchwale ukute hata yeye hakukuona husband matirio ndo maana hakurudi hata kukucheck.

Kula ama kuliwa inategemea tu umekaa angle gani wakati unatizama.
 
Whaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaat! Well what can i say?:A S embarassed:

Anyway the girl is an AMATEUR! Sawa anachuna but she has NO GAME, CLASS, STYLE, SKILLS, TALENT! NADAAAAAAA! She is a DISGRACE to WACHUNAJI SOCIETY!
 
Afadhali umelijua mapema hilo na angekua anakupenda asingekua anakuchuna hivyo,!!!!!!mi wangu nampunguziaga hadi vochaa lol yeye hata kukupigiaaaa
 
nilikuwa nasoma kwa uchu sana nione malengo ambayo mlipangiana!

at the end naona wote tu mko after kugegedana na kutumiana pesa....

ulimzoeza pesa sana toka mnaanza kupeana lifti....

mwanamke umleavyo, ndivyo akuavyo!
 
Mapenz ya sasa hivi ni ya KUNYATIA baba...ishi kimachale ndg lasivo utavaa yeboyebo town
Mkuu umenifurahisha sana..huwa sitangazi nia kwanza, nasoma upepo umekaaje
 
Afadhali umelijua mapema hilo na angekua anakupenda asingekua anakuchuna hivyo,!!!!!!mi wangu nampunguziaga hadi vochaa lol yeye hata kukupigiaaaa
Safi sana..hauna mdogo wako mkuu? hii mbegu nzuri.
 
hapo umenena,,,,bahati nzuri hakupokea simu wala kujibu msg ndo tayari nishachapa lapa.

Aliyechapa lapa ni yeye au wewe, tenda wema uende zako. kuombwa hela au kumsaidia mwanamke kitu sio sababu ya kumtongoza.

na wewe acha kutumia uwezo wako vibaya.
 
Sipendi mijike mipiga mizinga, imewahi kuniabisha siku moja mi nina elfu 10 tu mfokoni alafu jenyewe linataka lipige supu sijui nyoma choma, ------- kabisa.
 
Dawa ya mwanamke mpenda pesa ni kumgegeda na kusepa na dawa ya mwanaume mwenye tamaa ni kumlia pesa yake tu .....maana mkiambiwa msiguse hiyo kitu mnaona mtaonekana si wa kisasa.
 
aliyechapa lapa ni yeye au wewe, tenda wema uende zako. Kuombwa hela au kumsaidia mwanamke kitu sio sababu ya kumtongoza.

Na wewe acha kutumia uwezo wako vibaya.

ingekuwa hivyo matajiri wangekuwa hawaoi maskini au maskini kuoa tajiri maana hata wao wakipatana kwa mtizamo wako utasema wanatumia uwezo wao vibaya. Na isitoshe sijamtongoza kwa sababu kaniomba hela ila kuniomba hela kumefuata baada ya kumtongoza.
 
Aisee wanawake tunatofautiana sana. Nakumbuka wakati niko chuo, sikuwahi kumuomba boyfriend wangu hela hata siku moja mpaka mwenyewe atakapoamua kunipa! One day kaja kuntembelea nilikuwa nimeuawa ile mbaya, nilitamani sana kumwambia walau ANIKOPESHE (sio anipe) lakini nilishindwa, loh!sitosahau! Hadi leo, siombi hadi nipewe nisipopewa poa tu, ninacho cha kwangu! Mungu amsaidie by baby boy aje apate mke/mchumba mwenye tabia kama yangu ya u non-ombaomba :amen::amen::amen::amen::amen::amen::amen:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…