Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,689
- 26,570
Mkishashindikana kuolewa mnaanza kuzichukia ndoa na mbaya zaidi mnaanza kuharibu wengine kwa kuwashauri kutoolewa na eti ikubidi bora kusagana.Wacha watu wale ujana, itajulikana mbele kwa mbele, kwani Kuolewa ni lazima?
Lakini mtoa mada ameeleza vizuri ila umemtafsiri kinyume cha maumbile.Msiwape watu stress, kama hajakupenda basi kubali haujapendwa...sio sababu una ahaidi ndoa ndo ajilazimishe kuolewa na wewe. Unajuaje na huyo mwingine hajamwambia anataka kumuoa kama wewe unavyosema.
They will marry when and who they want.
Hizi topic mkawaambie dada zenu nadhani ndo hawana haki ya kupenda au kuchagua wanachopenda.
Mmoja ana 23 kanikataa!!mkuu hawa wa sasa ivi hata 25 anajiona bado mtoto
Unaelewa maana ya scenerio ?Lakini mtoa mada ameeleza vizuri ila umemtafsiri kinyume cha maumbile.
Binti em swaki kwanza.... povu l Nin!!??Pumbavu!. Kwa hiyo wewe unataka kila msichana unayemtaka hata kama hakupendi aseme ndiyo? Eti sababu za kipumbavu, na ndiyo sababu unakataliwa kwa sababu huna akili za kuishi na msichana. Mvulana mwenye akili hawezi kulazimisha vigezo vyake ndiyo viwe vigezo vya watu wote duniani. Pumbavu. Waache wasichana wana maisha yao na wewe hayakuhusu. Tafuta atakayekubali kuolewa kwa sababu anatakwa hata kama hapendi. Huna maana.
Acha kuipotosha jamii wewe. Wewe kama ni mhanga wa hii mada jipange ujiokoe...Halafu kwanini haya mambo ni kwa waafrika tu hasa Tanzania. Ukienda hapo Kenya tu wanawake hawataki kuolewa wanapenda kuzaa tu walee wenyewe watoto. And why hizi scenario hamzipelekagi Ulaya. Mbona wao hawana njaa ya kuolewa hata akiwa na 35 huwezi sikia jirani au rafiki akimwambia utaoa au utaolewa lini. Kila mtu yuko busy na maisha yake but huku watu wako busy kufuatilia maisha ya wenzao na kuwachagulia ni mda gani wa kuoa au wakuolewa.
Na ndio maana YESU aliamua kuondoka mapema maana binadamu kwa kufuatilia ya watu mngeshaanza kumsumbua why he is 33 na hajaoa.
Let pipo live they way they want. We una mke una Mme tulia endesha life yako achana na maisha ya wenzako. Kipi kinachokuuma
Watafutie basi hao mil 4 extraa waume maana ratio hauko sawa
Mmmmhhh nilijua tuKwahio tuolewe hata kama bado hatuko tayari,22 si yupo chuo huyo?eeh bana weee kama mume yupo yupo tu wacha turinge... Panic at your own risk
Waambie waelewe hawa, hawaamini kama wanaweza kutoswa hata baada ya kucheza karata ya neno ndoaPumbavu!. Kwa hiyo wewe unataka kila msichana unayemtaka hata kama hakupendi aseme ndiyo? Eti sababu za kipumbavu, na ndiyo sababu unakataliwa kwa sababu huna akili za kuishi na msichana. Mvulana mwenye akili hawezi kulazimisha vigezo vyake ndiyo viwe vigezo vya watu wote duniani. Pumbavu. Waache wasichana wana maisha yao na wewe hayakuhusu. Tafuta atakayekubali kuolewa kwa sababu anatakwa hata kama hapendi. Huna maana.
Mimi sio mhanga Nina life yangu na sina mpango wa kuoa coz sio lazima. And nobody has right to tell me what to do in my life.Acha kuipotosha jamii wewe. Wewe kama ni mhanga wa hii mada jipange ujiokoe...
Vipi we unaonaje hastahili kukukataa?inawezekana hujakidhi vigezo vyake ulitaka akukubali tu?Mmoja ana 23 kanikataa!!
Nilijua wewe lazoma utakuwa mhanga wa hili.Mimi sio mhanga Nina life yangu na sina mpango wa kuoa coz sio lazima. And nobody has right to tell me what to do in my life.
Why watu wakishaingia kwenye NDOA ghafla wanakuwa specialist wa wa NDOA!? Halafu ghafla wanakuja na Uzi ooh huyu mwanamke nimeshindwa au huyu mwanaume hyu simuwezi. Tulieni kwenye NDOA zenu mfanye yenu mshughulike na shida zenu huko
Yani wanavyotulazimisha tuingie kwenye ndoa,wakati wao kutwa wanachepuka nje nini maana yake hapo.....mwanamke usitimize malengo yako eti kisa huko badae utakosa mme uanze kukimbizana na ndoa kwanza,aisee kazi ipo....Mimi sio mhanga Nina life yangu na sina mpango wa kuoa coz sio lazima. And nobody has right to tell me what to do in my life.
Why watu wakishaingia kwenye NDOA ghafla wanakuwa specialist wa wa NDOA!? Halafu ghafla wanakuja na Uzi ooh huyu mwanamke nimeshindwa au huyu mwanaume hyu simuwezi. Tulieni kwenye NDOA zenu mfanye yenu mshughulike na shida zenu huko
Kweli!! Na ndio maana walio kwenye NDOA ndio wanaongoza kuwa na ukimwi. Labda watujibu hili kwanza.Yani wanavyotulazimisha tuingie kwenye ndoa,wakati wao kutwa wanachepuka nje nini maana yake hapo.....mwanamke usitimize malengo yako eti kisa huko badae utakosa mme uanze kukimbizana na ndoa kwanza,aisee kazi ipo....
Imekugusa...!?Eissh..mmeanza tena.
Hili ni muhimu....si lazima.Tatizo lenu ndio hilo mnadhani kila kitu ni lazima.
Hawawezi kukujibu hilo,watajikanyaga sasahivi watahamia kwenye bilble,mara ni muhimu....sasahivi atatokea mtu atajibu hivyo....huwa sielewi maisha ya mwingine yamsumbuaje mtu,kila mtu ana priorities zake na maamuzi yake,wao wanaona ndoa ndio kila kitu well and good waendelee kuenjoy,meanwhile wengine tuendelee na maishaKweli!! Na ndio maana walio kwenye NDOA ndio wanaongoza kuwa na ukimwi. Labda watujibu hili kwanza.
Marafiki zangu wote waliooa wanacheat. Mpk unajiuliza why? Waliingia sehemu ambayo masharti yake hawayawezi
Teh teh..Huyo anko alitisha sana aisee..Haya bana..Ngoja nitulieHaaa kuna siku kwenye harusi muda wa kudaka ua, kuna mdada hadi alibebwa juu na uncle wake sijui
Daddy me na wewe tushaongea sana kuhusu hii issue. Nashangaa pressure za majirani zimeanza kukukosesha usingizi. Endelea tu kuchangia harusi za watoto wa wenzio, wa kwako bado yupo. Nimegoma kuondoka home teh