Kwahio mwanao akifika miaka 21 utamuoza kwa kuhofia atakosa mume????Teh teh..Yeah..Wapo wanawake ambao kuolewa kwao sio issue..Ila naamini asilimia kubwa ya wanawake wanazitaka ndoa..Sema tu siku hizi mmekuwa selective sana..Mna mavigezo lundo wenyewe..Ila umri ukienda mnaanza kuvipunguza kidogokidogo
Nimepanda weeeengi.Aisee....yani wewe una hatari kwelikweli
hujawahi penda??
Hivi huyu mwanaume ambaye ndo kaweka mkataba na mkewe hamumuoni mnamuona nyumba ndogo tu.Umeandika wewe au umesaidiwa. Em jiweke kwenye hiyo position ya huyo mwanamke unaetaka share nae bwana...,,,,!!! Wonders
Sasa kwanini huolewi!!!???Nimepanda weeeengi.
Anae beba mimba na mwenye maamuzi ni nani!??Hivi huyu mwanaume ambaye ndo kaweka mkataba na mkewe hamumuoni mnamuona nyumba ndogo tu.
Shida ni hao wanaume.
Kwako wewe mwanamke inapaswa aolewe akiwa na umri gani?ukizingatia kujipanga kiuchumi hakuna formula mana mwingne anaweza graduate chuo akiwa na 23-25 akija mtaani anaweza kaa hata miaka 2 bila kazi mwaka wa 3 ndo anapata so ndo kujipanga kunaanzia hapo na age yake ikiwa inakaribia 30 na katika tamaduni zetu za kiafrika mwanaume kuoa mwanamke alofika miaka 30 ni nadra sana kutokana na ile dhana kuwa mwanamke anawah kuzeeka kuliko mwanaume..Mleta mada anasema kuolewa ni bahati, sio kweli. mwanamke mwenye akiri na hekima ni yule mwenye malengo na mipango juu ya maisha yake. Ndoa hupangwa na inapangwa kwasababu inamajukumu sio yale mambo ya zamani kuwa mwanamke akiolewa anaenda kusubiri mume alete yeye apike. Mwanamke lazima ajipange kiuchumi kwanza. Sasa chini ya miaka 25 kajipanga lini? Au ndiyo zile ndoa za ugoli kipa zimepitwa na wakati hizo bro.
Ai feel sorrry for u...Ukiishi huku unapingana na nature hutokua na furaha,inajulikana wanawake ni wengi kuliko wanaume,na wanaume wengi wana mipango ya kando,kushare kitu cha kawaida,hakuna wa peke yako labda umchonge...mimi ndio maana sioni hata maana ya ndoa kwa kipindi hiki,tofauti na zamani..mtu anaweza kuolewa akaishi maisha magumu sana kunyanyaswa na mume huko ndoani,na huyu asieolewa akaishi powa tu no stress....ni maamuzi tu
Bado nipo nipo kwanzaSasa kwanini huolewi!!!???
Duuh..21 bado mdogo..Btw maamuzi ya kuolewa ni yake..Ninachoweza kufanya ni kumpa ushauriKwahio mwanao akifika miaka 21 utamuoza kwa kuhofia atakosa mume????
Basi Kaaamua mwenyewe na maisha yake.Anae beba mimba na mwenye maamuzi ni nani!??
Wewe mpaka leo unawaza kuwa mwanamke anawahi kuzeeka? Hakuna kitu kama hicho. Leo hii unaweza ukakutana na mwanamke aliyekupita miaka 5 na ukajiona ukasawa naye tu, yale zamani yalikuwa maisha magumu ndiyo yaliwazeesha.Kwako wewe mwanamke inapaswa aolewe akiwa na umri gani?ukizingatia kujipanga kiuchumi hakuna formula mana mwingne anaweza graduate chuo akiwa na 23-25 akija mtaani anaweza kaa hata miaka 2 bila kazi mwaka wa 3 ndo anapata so ndo kujipanga kunaanzia hapo na age yake ikiwa inakaribia 30 na katika tamaduni zetu za kiafrika mwanaume kuoa mwanamke alofika miaka 30 ni nadra sana kutokana na ile dhana kuwa mwanamke anawah kuzeeka kuliko mwanaume..
Usitake kujifanya hujui ukweli kuwa katika ukuaji yupi anawahi hata somo la sayansi aka biologia shule ya msingi umesoma na si kazi ngumu pekee ndo zinamfanya mwanamke azeeke mapema kuna kuzaa nk...labda unambie mapenzi hayana umri wala uzee Sawa mana ndo moja ya slogan pendwaWewe mpaka leo unawaza kuwa mwanamke anawahi kuzeeka? Hakuna kitu kama hicho. Leo hii unaweza ukakutana na mwanamke aliyekupita miaka 5 na ukajiona ukasawa naye tu, yale zamani yalikuwa maisha magumu ndiyo yaliwazeesha.
Mhmhm naomba nipunguzie hiyo miaka saba please......I beg you please my Brenda18....You know what....life has no specific formula....seven years that you're telling me to keep waiting perhaps would be happy period for us to join together and shape our new life with a clear vision of our lovely family......So please consider me in your heart...I won't let you down...life is too short beibi!Bado sijaolewa hadi leo?muone kama unanijua vile....nimesema bado nipo kwenye kuchagua miaka saba badae ntalifikiria hilo,utasubiri?
Nimekupenda bure my dada!!!!ndoa za sasa ni fashion!!!!pesa kwnz mpnz baadae hutak pita hiviii!!!!Ukiishi huku unapingana na nature hutokua na furaha,inajulikana wanawake ni wengi kuliko wanaume,na wanaume wengi wana mipango ya kando,kushare kitu cha kawaida,hakuna wa peke yako labda umchonge...mimi ndio maana sioni hata maana ya ndoa kwa kipindi hiki,tofauti na zamani..mtu anaweza kuolewa akaishi maisha magumu sana kunyanyaswa na mume huko ndoani,na huyu asieolewa akaishi powa tu no stress....ni maamuzi tu
Nashanga hta mimi km vle tunawashikia yeye hajui km anamke hbu punguzen mihemko!!!!lolHivi huyu mwanaume ambaye ndo kaweka mkataba na mkewe hamumuoni mnamuona nyumba ndogo tu.
Shida ni hao wanaume.
Hahahahaha asante bi dada yaani ni aibu afuu fyofyifyo ndoa tupa kule!!Basi Kaaamua mwenyewe na maisha yake.
Janaume linaenda kukitembesha nje bila Kinga hadi anatia mimba. Ndomana wanandoa wanaongoza kwa maambukizi. Ovyo kabisa wachepukaji.
Kama ushatendwa/ushawahi tendwa vile..Hahahahaha asante bi dada yaani ni aibu afuu fyofyifyo ndoa tupa kule!!