KayScarpetta
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 1,251
- 776
Kama anachepuka ninini kinafanya uone ni nature? Au unahalalisha uchepukaji kwa kutumia neno "nature".
Na hao ndio wanaume zetu utasikia kucheat ni nature alaaaaa!Sijui kwanini mtu una argue tu huku hauna utetezi wa unacho argue... eti nature, eti kucheat iko kwenye damu, ndio nini sasa?
Eti wapo wanao cheat kwa kujionyesha na wanao cheat kwa kujificha...hapa naona anamaanisha wanaojificha ni bora zaidi ya wale wanaojionyesha... Hawa ndio wale ambao wana cheat, lakini mkewe aki cheat dunia inageuka sio mahali salama...khaa
Hawa ni wabaya sana ukikutana nao aisee.umenena vema mkuu, ila ndo hivyo utasikia sio lazima wakat wakifika 30+ wanaanza kwenda kwa waganga wapate ndoa
Alhamdulillah (ashukuriwe m/mungu) wote wapo katika ndoaUmemjumuisha na mamayo, dadazo je? Mashangazi vipi?
"Kuni juu ya uchaga, hucheka za motoni" jiongeze hapo kama wafahamu kiswahili ila nikupongeze kujigeuza mfalme NjoziMhanga mwingine wa kupigwa chini na kukataliwa na Wanawake huyu, kejeli na dharau kibao!
Sawa...!We wasema..
Good for you, kwanini sasa utukane wamama, wadada na mashangazi wa wenzio?Alhamdulillah (ashukuriwe m/mungu) wote wapo katika ndoa
Umepanic, wengi hamtaki ndoa ila mnapenda uzinzi halafu baadae mwaja katika late 30's kutaka dunia itambue umepata mume kwa promo kubwa, kiki inatafutwa baada ya muda kuwapita. Ni mtizamo tu.Good for you, kwanini sasa utukane wamama, wadada na mashangazi wa wenzio?
Its too low for my panic button,Umepanic, wengi hamtaki ndoa ila mnapenda uzinzi halafu baadae mwaja katika late 30's kutaka dunia itambue umepata mume kwa promo kubwa, kiki inatafutwa baada ya muda kuwapita. Ni mtizamo tu.
Ohoooo.Wanawake wazuri wazuri wameolewaaa... yamebaki ___________ ya angaikaa.
Me nashangaaga watu wanamsema jamii jamii... Kwani wewe sio sehemu ya jamii? Kwanini uendelee kushikilia mambo yasiyo na msingi? Kwanini wengine waamue viwango vya jamii lakini sio wewe?yah... na mie akitokea fairy godmother akini grant three wishes, nitamuomba anipatie uwezo wa kuikimbia jamii kama hiyo, nitakuwa naenda tu kuitembelea hiyo jamii, lakini sio kuishi nayo.
Mapinduzi ya kiuchumi besti, lazima yaende parallel na mapinduzi ya kifikra. It is very simple, huwezi kupigia debe swala la kujikomboa kiuchumi while at the same time, unapigia debe swala la kumuoa binti akiwa 20yrs old bado hajajitambua na bado yuko kwenye harakati za kujiendeleza kielimu na kiuchumi, eti tu kwasababu wewe ni mwanamme utamtimizia kila kitu. Huwezi kuwa mwanaharakati wa maendeleo kama bado unafikra kwamba eti mwanamke akiwa 30yrs old, eti amechoka, amezeeka, eti ameshapigwa pum*****u sana kwa hiyo amekwisha.
It is still a mans world besti...
Me nashangaaga watu wanamsema jamii jamii... Kwani wewe sio sehemu ya jamii? Kwanini uendelee kushikilia mambo yasiyo na msingi? Kwanini wengine waamue viwango vya jamii lakini sio wewe?
Kuna watu wameumbwa kufugwa kama kondoo.
Kwanza mwanaume anayeongelea jamii mimi hanivutii... He's so beta. Get me the alpha who makes the darn rules.
housegirl, Hello besti!
Mapinduzi ya kiuchumi besti, lazima yaende parallel na mapinduzi ya kifikra. It is very simple, huwezi kupigia debe swala la kujikomboa kiuchumi while at the same time, unapigia debe swala la kumuoa binti akiwa 20yrs old bado hajajitambua na bado yuko kwenye harakati za kujiendeleza kielimu na kiuchumi, eti tu kwasababu wewe ni mwanamme utamtimizia kila kitu. Huwezi kuwa mwanaharakati wa maendeleo kama bado unafikra kwamba eti mwanamke akiwa 30yrs old, eti amechoka, amezeeka, eti ameshapigwa pum*****u sana kwa hiyo amekwisha.
It is still a mans world besti...but it would be nothing, nothing without a woman...hahahaha...and we women, will deal with them accordingly... teh teh teh...
"Mapinduzi ya kiuchumi besti, lazima yaende parallel na mapinduzi ya kifikra."
Marry me Kay...i'm carried away with your wisdom