Wanawake njooni mseme ukweli

Wanawake njooni mseme ukweli

Unataka kujua mawazo ya wanawake wote ili iweje, wewe kama umepata manzi muulize maswali akujibu kulingana na yeye.

Be crazy, Be Weird, Be whatever coz life is too short to be anything but HAPPY.
Asante kwa mchango wako..
Kwake bado najifunza vitu vingi ila napenda nijifunze na kwa wanawake wengine nione kama mitazamo inafanana au vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ni kama biashara kuna mda itabidi uwekeze pesa kuna muda inabidi ujue mteja anataka nini ndo mwanamke alivyo
 
Nikiamua kuchepuka hata unipe ikulu haunizuii....

Akili yangu naijua mwenyewe.... cha muhimu hakikisha nakuheshimu ila nyegee zikipanda navua tuu hata unipe mbingu......

Don’t bother....
 
1: Tunapenda kufahau suala lake la kiuchumi.

2: Ucheshi, kiasi na busara.

3: Wapole

4:like a queen

5: kuongea kiasi ila kuchat kila wakati.

6: Avae apendeze yaani awe mtanashati.Asivae hovyo hovyo. Mavazi yawe yenye hadhi na itategemea sehemu anapoenda. Na awe msafi.

7: Hamna mwanamke anayependa kusikia
mwanaume wake ana mwanamke mwingine. Inaumiza na kutia kichefuchefu kwa pamoja.

8: tunapenda wanaoonyesha wanatupenda kwa vitendo. Hata kama hawasemi.

9: Hatuchepuki.

10: Hamna jibu.


Sent using Jamii Forums mobile app


Asante sana kwa muda wako...haya majibu yatasaidia ndoa nyingi kuchipua na mawazo hasi ya wanaume juu ya wanawake yataenda kubadirika
 
Nikiamua kuchepuka hata unipe ikulu haunizuii....

Akili yangu naijua mwenyewe.... cha muhimu hakikisha nakuheshimu ila nyegee zikipanda navua tuu hata unipe mbingu......

Don’t bother....

Woyoooo enhee sasa unavua tu kwa mtu yeyote?au inakuaje mwanamama
 
Nikiamua kuchepuka hata unipe ikulu haunizuii....

Akili yangu naijua mwenyewe.... cha muhimu hakikisha nakuheshimu ila nyegee zikipanda navua tuu hata unipe mbingu......

Don’t bother....

Woyoooo enhee sasa unavua tu kwa mtu yeyote?au inakuaje mwanamama
 
Niliandika kujibu yote ndefu ilikuwa napost siioni.

Aisee kuandika tena ni ishu mkuu wangu.

Polee nakuomba ukipata muda andika tena utatusaidia wengi sana humu
 
Tafuta tu pesa upendo utakuja wenyewe.
No money No honey hii ni kwa huku mijini wavijijini sina uzoefu nao watakuja

Sent using Jamii Forums mobile app


Hata maandiko yamasema pesa ni jawabu la matatizo yote..laikini mbona hao wenye pesa tunaona wakisalitiwa na wake zao..pesa sio kila kitu ndugu
 
Mapenzi ni kama biashara kuna mda itabidi uwekeze pesa kuna muda inabidi ujue mteja anataka nini ndo mwanamke alivyo


Ivi pale iringa umepita pita kitanzini...jibu lako mkuu nimelielewa sana kwamba toa huduma kutokana na mahitaji ya mteja..

Lakini wakati mwingine inatakiwa umletee mteja bidhaa mpya?zingatia hilo mkuu usijepoteza mteja
 
Tatizo mnatuchukuliaga kwamba tupo very complicated wakati sivyo.

Mwanamme asimame kama mwanamme, abebe majukumu ya familia kwa maana ya kutimiza mahitaji ya familia.

Amheshimu na kumjali mke wake kwa hali na mali. Kumpa company na sio ya kumchungulia kyupi tuuu. Na aiangalie familia ya wakwe kama anavyoangalia ya wazazi wake pia. Kushauriqna katika masuala ya kifamilia.

Kuwa mwalimu ama kiongozi wa mke wake pale anapoona amekosea step. Kumfundisha mambo mapya mfano siasa, ama kukaa nae kuangalia mpira kumfundisha rules etc.

Kumpiga turumba. Hili neno turumba mara ya kwanza na mwisho nililisikia kwa baba yangu fundi magari wakati navunja ungo. Hakukaa akaremba maneno yake. Alituambia tu pigweni turumba weee mpaka ifuke moshi. Nilipokuwa ndo nilielewa. So ndugu msomaji, mpige mkeo turumba weeeee ndo miongoni mwa yanayotakiwa katika ndoa.


Mama yeyooooo apigwe turumbaaa weeee mpaka ifuke moshi kwaiyo nikiwa mbali naye wananchi wenzangu watanisaidia kumpiga turemba!??

Kwani mnaweza kukaa muda gani bila kupigwa turumba
 
Woyoooo enhee sasa unavua tu kwa mtu yeyote?au inakuaje mwanamama

Usicheze na kitu kinaitwa nyegee nyegee nyegeziii.....

Siokoti yoyote tuu, vigezo na masharti kuzingatiwa.....

Kasie Mahaba Matata.....

Mbuudyaaaa hooyeeeeee....!!!😝😝😝🚤⛵️🛶🛶🛥⚓️⚓️
 
Usicheze na kitu kinaitwa nyegee nyegee nyegeziii.....

Siokoti yoyote tuu, vigezo na masharti kuzingatiwa.....

Kasie Mahaba Matata.....

Mbuudyaaaa hooyeeeeee....!!!
Turumba ndaniiiiiiiiiiiii..
Lakini mr akiwepo jirani hakuna tatizo
Au nyege zikikupata hata kazini bado utaangalia vigezo na masharti vya waliopo jirani???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunapenda kila kitu na hatupendi kila kitu depends na mood. Ishini nasi kwa akili.

Wakati hiyo mood ya kutopenda kila kitu na kupenda kila kitu inapoanza kufanya kazi vipi kuhusu mtu?huwa mnawaza nini??

Kwanini mnapenda kika kitu na kwanini hampendi kila kitu?nini hasa kinasababisha
 
Back
Top Bottom