Wanawake njooni mseme ukweli

Wanawake njooni mseme ukweli

Tatizo mnatuchukuliaga kwamba tupo very complicated wakati sivyo.

Mwanamme asimame kama mwanamme, abebe majukumu ya familia kwa maana ya kutimiza mahitaji ya familia.

Amheshimu na kumjali mke wake kwa hali na mali. Kumpa company na sio ya kumchungulia kyupi tuuu. Na aiangalie familia ya wakwe kama anavyoangalia ya wazazi wake pia. Kushauriqna katika masuala ya kifamilia.

Kuwa mwalimu ama kiongozi wa mke wake pale anapoona amekosea step. Kumfundisha mambo mapya mfano siasa, ama kukaa nae kuangalia mpira kumfundisha rules etc.

Kumpiga turumba. Hili neno turumba mara ya kwanza na mwisho nililisikia kwa baba yangu fundi magari wakati navunja ungo. Hakukaa akaremba maneno yake. Alituambia tu pigweni turumba weee mpaka ifuke moshi. Nilipokuwa ndo nilielewa. So ndugu msomaji, mpige mkeo turumba weeeee ndo miongoni mwa yanayotakiwa katika ndoa.
Hapo kwenye turumba nakazia hapo, muhimu sana hapo, na ukipigwa turumba vizuri usishee na mashosti, utaibiwa mume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake hawaeleweki shetani mwenyewe anawajua, hapa wataandika mengi lakini kumbe ni kinyume na yaliyomo kwenye mioyo yao

"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"
 
Wanawake hawaeleweki shetani mwenyewe anawajua, hapa wataandika mengi lakini kumbe ni kinyume na yaliyomo kwenye mioyo yao

"ᴬᵐᵇⁱᵗⁱᵒⁿ ᶜᵃⁿ ᵇᵉ ᵃ ᵛⁱʳᵗᵘᵉ ʷʰᵉⁿ ⁱᵗ ᵈʳⁱᵛᵉˢ ᵘˢ ᵗᵒ ᵉˣᶜᵉˡˡ"

Tatizo lipo kwenye utekelezaji
 
Nikiamua kuchepuka hata unipe ikulu haunizuii....

Akili yangu naijua mwenyewe.... cha muhimu hakikisha nakuheshimu ila nyegee zikipanda navua tuu hata unipe mbingu......

Don’t bother....
Mbona ulikuja hapa ukaaminisha wana Jf kuwa wewe ni wife material!? kumbe maharage ya mbeya yanaiva hata kwa kuanika juani

Sent by Diaspora
 
Back
Top Bottom