Wanawake njooni mseme ukweli

Wanawake njooni mseme ukweli

Turumba ndaniiiiiiiiiiiii..
Lakini mr akiwepo jirani hakuna tatizo
Au nyege zikikupata hata kazini bado utaangali vigezo na masharti vya waliopo jirani???

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama unafanya research wasilina na Melo kwanza ulipie gharama kisha ukipata kibali uje na tracking number ntakujibu maswali yote...

K’ Matata.
 
Kama unafanya research wasilina na Melo kwanza ulipie gharama kisha ukipata kibali uje na tracking number ntakujibu maswali yote...

K’ Matata.
Asante sana kwa mchango wako na muda wako..hujaniavha bure kuna kitu nimejifunza.

Nikilipia ntakujulisha tuendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmm..Questionnaire!
Bado fomu ya Ridhaa tu tunachapisha pepa ya utafiti
 
Tatizo mnatuchukuliaga kwamba tupo very complicated wakati sivyo.

Mwanamme asimame kama mwanamme, abebe majukumu ya familia kwa maana ya kutimiza mahitaji ya familia.

Amheshimu na kumjali mke wake kwa hali na mali. Kumpa company na sio ya kumchungulia kyupi tuuu. Na aiangalie familia ya wakwe kama anavyoangalia ya wazazi wake pia. Kushauriqna katika masuala ya kifamilia.

Kuwa mwalimu ama kiongozi wa mke wake pale anapoona amekosea step. Kumfundisha mambo mapya mfano siasa, ama kukaa nae kuangalia mpira kumfundisha rules etc.

Kumpiga turumba. Hili neno turumba mara ya kwanza na mwisho nililisikia kwa baba yangu fundi magari wakati navunja ungo. Hakukaa akaremba maneno yake. Alituambia tu pigweni turumba weee mpaka ifuke moshi. Nilipokuwa ndo nilielewa. So ndugu msomaji, mpige mkeo turumba weeeee ndo miongoni mwa yanayotakiwa katika ndoa.
Hahaha apo mwsho apo kwenye tarumba nime cheeeka kwel mzee alikuwa Ana kwambia bint yake hahaha ha Aya ilo tuta lifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawasalimu wote kwa upendo na hekima pia hongereni kwa majukumu yenu ya kila siku...twende kwenye mada sasa

1. Wanaume wengi tunahangaika kujua/kufahamu hasa kwenye swala la mapenzi nyie wanawake mnapenda kitu gani kutoka kwetu..?

2. Naomba wanawake mseme ukweli mnapenda nini hasa kwa wanaume

3. Mnapenda wanaume wa aina gani,wakorofi,wapole,walokole,wasumbufu,wakatili..

4. Mnapenda mwanaume akutreat vipi?

5. Mfano mkiwa mnaishi mbali mnapenda mawasiliano yenu yawaje hasa kwenye simu??kuongea sana au kidogo tu..
Mana kuna wanaume wanasema usizoee kuongea na mkewako kwenye simu zaidi ya nusu saa!???

6. Mnapenda mwanaume awe na muonekano upi hasa uvaaji na muonekano wa mwili wake uweje yani.

7. Mnapenda kuskia kuwa mwanaume wako anamwanamke mwingine zaidi yako??mnajiskiaje mkiskia hivyo???

8. Mnapenda mwanaume ambaye haeleweki eleweki kama anakupenda au hakupendi!?yani asiyeonesha mapenzi kwa 100% kwako..

9. Mfano ukiwa mbali na mpenzi wako nini kitasababisha uchepuke?tamaa ya ngono au vishawishi na ukichepuka unajiskiaje

10. Mfano ukiwa unaishi na mume wako nini kinasababisha uchepuke ?? kama huyo mwanaume anakutumizia mahitaji kwa kadri alivyojaaliwa

11 UKIWA MBALI NA MUME WAKO UNAWEZA KUKAA MUDA GANI BILA KUFANYA MAPENZI

Kwa hayo maswali machache nawaombeni mnijibu kwa upendo na ukweli kabisa..



Sent using Jamii Forums mobile app
Unamtesa huyo aliyekubeba wewe na mtoto,hapo atapiga turumba kweli.
 
Nikiamua kuchepuka hata unipe ikulu haunizuii....

Akili yangu naijua mwenyewe.... cha muhimu hakikisha nakuheshimu ila nyegee zikipanda navua tuu hata unipe mbingu......

Don’t bother....
Zikikupanda hata yeye si ataisugua tu,kwanini uchepuke,au kila unaemuona ana feature fulani unataka kumuonja?
 
Unajua wanaume ubongo wetu ni umegawanyika kwa boxes na kila box lina jukumu moja tu
Tofauti na wao ambapo ubongo wao umetengenezwa kwa wire nyingi na zimeungana kama internet superhighway na hiyo inafanya kila kitu kimeungana kama ndugu na hela, watoto, mapenzi, uchungu, furaha, yaani kila kitu kimeungana pamoja.

Sasa hata siku moja hatuwezi kuwaelewa ila tunaenda nao hivyo hivyo
Anaweza kulia kwa furaha na kufurahi kwa machungu

Sisi ni tofauti ubongo ukiamua kuongelea mpira ni box moja hilo haliingiliani na kitu kingine

Sent from my SM using Tapatalk
 
Unajua wanaume ubongo wetu ni umegawanyika kwa boxes na kila box lina jukumu moja tu
Tofauti na wao ambapo ubongo wao umetengenezwa kwa wire nyingi na zimeungana kama internet superhighway na hiyo inafanya kila kitu kimeungana kama ndugu na hela, watoto, mapenzi, uchungu, furaha, yaani kila kitu kimeungana pamoja.

Sasa hata siku moja hatuwezi kuwaelewa ila tunaenda nao hivyo hivyo
Anaweza kulia kwa furaha na kufurahi kwa machungu

Sisi ni tofauti ubongo ukiamua kuongelea mpira ni box moja hilo haliingiliani na kitu kingine

Sent from my SM using Tapatalk


Hivi na wenyewe wanayafahamu haya mambo au nisisi tu ndio tunafahamu?
 
Mmmm..Questionnaire!
Bado fomu ya Ridhaa tu tunachapisha pepa ya utafiti

Umesahau kitu kimoja...
Weka maneno kidogo kuhusu hayo maswali sio muhimu kujibu yoye hata moja..
 
Hivi na wenyewe wanayafahamu haya mambo au nisisi tu ndio tunafahamu?
Hapo ndio huwa wanaumia kichwa maana wanashindwa kutuelewa kabisaa
Sisi kama wanaume kuna wakati akili huwa inakufa kwa muda lakini tunapumua amazing.
Unajua ni wakati gani huo?
Tunaweza kuwa tunaongea sana halafu ghafla tunanyamaza wote kwa pamoja kwa mda hahaha ajabu sana

Lakini kwa wanawake subutu wakinyamaza sekunde 5 tu wote wanaanza kujishuku

Sent from my SM using Tapatalk
 
Usicheze na kitu kinaitwa nyegee nyegee nyegeziii.....

Siokoti yoyote tuu, vigezo na masharti kuzingatiwa.....

Kasie Mahaba Matata.....

Mbuudyaaaa hooyeeeeee....!!!😝😝😝🚤⛵️🛶🛶🛥⚓️⚓️

I like you Kasie

Mwanzo nilikua sikuelewi but now I appreciate your sense of humor .

You are in your own little island Smoking lord knows what.
😊😊
 
Umesahau kitu kimoja...
Weka maneno kidogo kuhusu hayo maswali sio muhimu kujibu yoye hata moja..
😀Kila shetani na mbuyu wake..
kila mtu anapenda vitu tofauti kutokana na malezi na mazingira.
download.jpeg
 
Back
Top Bottom