Wanawake ninawaomba mtuambie ukweli katika hili

Wanawake ninawaomba mtuambie ukweli katika hili

Ndio hicho hichoo yani hapa nmekiona nmesisimkwaa

Mkuu wewe utakuwa mpiga Nyeto mzoefu hahahaha, inabidi usisimke Only ukiona Dushe na sio hiko hahaha nimekustukia

Afu ndio maana bili za Maji maofisini zinazidi kumbe Wakuu mna matumizi yenu binafsi😀
 
Mimi mara kadhaa nimekaa muda zaidi ya hiyo miezi mitatu bila kukutana na Baba Chanja. Huwezi kucheat unless ulishakuwa na hayo mawazo au ulidhamiria. Huwezi hata kuruhusu kuwa kwenye mazingira ya kutongozeka kirahisi. Mawasiliano mazuri na mwenza wako pale mnapokuwa mbali pia yanasaidia sana mwanamke kuwa na subira.
Mhmhhhh i dont believe you
 
kwakweli kuchepuka hakuanzi paap....

huyo anaechepuka mume akisafiri bhc ndo life style yake ila hiyo safari ndo imempa chance zaid
 
Back
Top Bottom