Jini Kisiranii
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 2,021
- 2,462
Wengi huwa wanacheat. Ila nishawahi kuishi asia mwaka nliacha mke huku, amini sikupata kuishi maisha magumu kama haya. Nlikuwa nakula vizuri sana, nalikiwa nalala 3 star hotel. Ila mazee mchepuko hamna afu vyakula vyao full pilipili