Wizzdude
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 234
- 405
- Thread starter
- #21
Wanawake kama wewe ni wachache sana!! HONGERABinafsi hainipi shida.
Ku cheat sababu mumeo yupo mbali ni kisingizio tu. Ulitamani ucheat siku zote ukakosa upenyo tu.😀😀😀
Kaa tulia, jiweke bize na masuala ya familia na jiweke karibu na Mungu wako muombe subra.
Mtunzie jamaa kitu yake, mishe zikiisha akirudi utafurahi.