Hakika mkuu💯Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
1. Wanawake wanaongoza kwa kuchepuka ila wako makini sana kuficha na ku "pretend" kiasi kwamba kuwagundua ni ngumu mnoo.
2. Mwanamke hua hafanyi kitu chochote kwa "bahati mbaya". Ukiona mwanamke kafanya kitu ujue alipanga.
Yaani niwe na mission yangu serious mwanamke aijue loh, yaani akijitahidi atakuja kujua mission tayari aborted na nimesha abandon hilo swala na nimesha return to the neutral position ambayo info za mission is equal to value less to both of usIngawa ni wenye mtazamo hafifu ila ni wazuri katika planning.
Ingawa ni watu sensitive sana ila ni wazuri katika katika kumudu majukumu mengi kwa pamoja na wakati mmoja.
Ingawa ni watu wasio na logic ila ni wazuri katika budgeting.
Kati ya wanawake wanaocheat 10 ni wawili ndio wanaogundulika ila wanaume wanaocheat 10 ni sita ndio wanaogundulika.
Mwanamke ni master wa kukufuatilia na kupangilia mbinu za kukuchunguza au kutaka kitu kutoka kwako and trust mr atakipata tu[emoji1787]
Mwanamke ana mood swings muda mwingine anakuwa psycho ila all in all ratiba iliokuwa akili mwake haiwezi vurugika, ila wewe mwanaume timu yako ikishindwa inakuvuruga akili hadi unaanza piga simu ukumbushwe mipango[emoji1787]
Ingawa ni wenye mtazamo hafifu ila ni wazuri katika planning.
Ingawa ni watu sensitive sana ila ni wazuri katika katika kumudu majukumu mengi kwa pamoja na wakati mmoja.
Ingawa ni watu wasio na logic ila ni wazuri katika budgeting.
Kati ya wanawake wanaocheat 10 ni wawili ndio wanaogundulika ila wanaume wanaocheat 10 ni sita ndio wanaogundulika.
Mwanamke ni master wa kukufuatilia na kupangilia mbinu za kukuchunguza au kutaka kitu kutoka kwako and trust mr atakipata tu🤣
Mwanamke ana mood swings muda mwingine anakuwa psycho ila all in all ratiba iliokuwa akili mwake haiwezi vurugika, ila wewe mwanaume timu yako ikishindwa inakuvuruga akili hadi unaanza piga simu ukumbushwe mipango🤣
Napendaga sana midada dizaini hii😍Sawa mkuu , ila haw aviumbe ni wazuri🤤
View attachment 3321060
Sijajua kwenye mtazamo umemaanisha nin ila kama they are pessimistic, hata hiyo planning yao itakuwa haina maana na haiwez kutimiaIngawa ni wenye mtazamo hafifu ila ni wazuri katika planning.
Hili nakubaliana naloIngawa ni watu sensitive sana ila ni wazuri katika katika kumudu majukumu mengi kwa pamoja na wakati mmoja.
Kama hawana logic basi hata budget zao zitakuwa hazina logic.Ingawa ni watu wasio na logic ila ni wazuri katika budgeting.
Labda itokee mwanaume awe don't care lakini kama akiwa careful ni rahisi pia kumgundua mwanamke anaecheat hasa kama anaecheat nae hajamwambia kuwa ana mtu.Kati ya wanawake wanaocheat 10 ni wawili ndio wanaogundulika ila wanaume wanaocheat 10 ni sita ndio wanaogundulika.
Hapo kwenye kuongoza sio kweliNakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
1. Wanawake wanaongoza kwa kuchepuka ila wako makini sana kuficha na ku "pretend" kiasi kwamba kuwagundua ni ngumu mnoo.
2. Mwanamke hua hafanyi kitu chochote kwa "bahati mbaya". Ukiona mwanamke kafanya kitu ujue alipanga.
Kwamba mama yako ni ng'ombe au?
Umelipwa shilingi ngapi na hizo ng'ombe jike ili uje kuzipromote humu
labda huyo ke mmejuana leoleo ila mwanamke kamili anakugundua mapema sana sema sikuhizi tunastrategy yakupotezea haturopoki bila ushahidiPia mwanamke aki cheat ni rahisi saana kubadilika sio Kam mwanaume
Mwanaume mpumbavu ndo utagundika mapema, kutokana na ile lifestyle yake.