nkyalomkonza
JF-Expert Member
- Jun 18, 2012
- 1,154
- 444
- Thread starter
- #21
kama hutaki aagize si mkutanie kituoni???? Au chini ya mwembe na sio baa/hoteli
Yaelekea wewe ni mmoja wa wanaoliwa
kama hutaki aagize si mkutanie kituoni???? Au chini ya mwembe na sio baa/hoteli
Unampigia simu demu wako mida ya saa tisa, anatoka nyumbani mpaka sehemu ulipo. Anaagiza kinywaji na kumuita mhudumu wa jikoni, niletee kuku nusu na chips. Wewe umetoka nyumbani hujala huko? Unajua nina bei gani mfukoni? Kuweni wastaarabu.
Unampigia simu demu wako mida ya saa tisa, anatoka nyumbani mpaka sehemu ulipo. Anaagiza kinywaji na kumuita mhudumu wa jikoni, niletee kuku nusu na chips. Wewe umetoka nyumbani hujala huko? Unajua nina bei gani mfukoni? Kuweni wastaarabu.
girls are money sinks.
Ameshindwa kula nyumbani. Bar tumekuja kunywa
Aaaah, kudadadeki, mimi akiagiza mi waini sijui midude gani at ze end of ze dei namwambia alipe mwenyewe, ei, mi sijajenga afu uniletee mi garama ya kijingajinga, itakula kwako.Huyo nae ni mmojawapo mwenye tabia hiyo
Mmh... Lazima ale ashibe..!! Anajiweka sawa, maana baada ya hapo anajua ni game ya kufa mtu.!
njaa zinawaua dada zetuUnampigia simu demu wako mida ya saa tisa, anatoka nyumbani mpaka sehemu ulipo. Anaagiza kinywaji na kumuita mhudumu wa jikoni, niletee kuku nusu na chips. Wewe umetoka nyumbani hujala huko? Unajua nina bei gani mfukoni? Kuweni wastaarabu.
kama ww mroho wa viepe uje kwangu utakula utashiba mpaka utavimbirwa upo tayariDuh watanzania tumefikia hatua ya kupigia hesabu ya chakula? Jamani ni kinyesi tu hicho mwisho wa siku.
ha ha ha ha kwani hajazoeaMmh... Lazima ale ashibe..!! Anajiweka sawa, maana baada ya hapo anajua ni game ya kufa mtu.!
siku 1 nataka unifanyie hivyoWewe unapo mpeleka sehemu inajiko unategemea mini?
tabia zenu sawaushatuambia ni demu wako wanawake wengine tunahusikaje hapo?
tena hawamalizi wakiagiza hapo ndipo nisipopapendaUnampigia simu demu wako mida ya saa tisa, anatoka nyumbani mpaka sehemu ulipo. Anaagiza kinywaji na kumuita mhudumu wa jikoni, niletee kuku nusu na chips. Wewe umetoka nyumbani hujala huko? Unajua nina bei gani mfukoni? Kuweni wastaarabu.