Wanawake ni walevi hadi wanakera!

Hongera sana rafiki. Sababu pombe tena ile isiyo na kipimo haichelewi kutuaibisha hasa sisi wanawake..
 
Wa Dada wa zamani walikuwa wanajua kupika vizuri kama mama zao wadada wa sasa kupika hawajui wanakunywa pombe kuliko baba zao
 
Kuna siku nilikuwa moro mjini maeneo nimejipumzisha...

Ama kweli watoto wa kike wanaharibikiwa sana wakiwa chuoni unakuta wanafunzi wa kike wanakung'uta bia kama maji mix sigara....

Siku hiyo nikaww najiwazia hivi wakiwa nyumbani wana behave hivi kweliii....
 
Huyo kwenye ulevi, hatakuwa kashawai siku mmoja kulewa na watu wakambaka masela
 
Pesa yake,unampangiaje cha kunywa?
 
G
hujawaji kuonja?
 
Mwanamke mnywaji mie sijui namuonaje!!! Mtanisamehe lakini mie naumia kweeeli kumuona mwanamke amekaa na kwa nywaji kikali tena baa!!! Huwa nahisi kuna shida mahali tuu
 
MBITIYAZA kunywa mama,maisha yenyewe haya mafupi.

mie nakunywa ninapoamua ! wine yangu safiiiiiiiiiiiiiiiii natulia !wala sion watu wawili wawili ! na haijawah nishuka chini !pombe unaweza kuidrive wewe !huwezi niambia ninywe wine na Ngariba1 inishuke kwa bibi akuu !utasubiri kweli kweli !itashuka chini nikiwa na mume ! mie huwa ipo hvyo !@piga ua galagaza !haiwez niendesha !

tena nimemiss hatari !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…