Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Sasa kosa la nani, kwani wewe ulivyokuwa unamtongoza ulikuwa hujuwi kuwa una mke au?
 
Utaharibu ndoa mchepuko unakuwa mbali na unapoishi mbwage maadamu umeisha mtafuna inatosha umeonja usichonge mzinga asali inapalia utavuluga nymba yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umezingua sana.
1. Una mke na mtoto
2. Unamtongoza jirani?!!!!

-Unamuaibisha mkeo.
-Kama shida ni mademu, tafuta mbali msela wangu.

Embu fikiria kama ungesikia jirani yako anampiga mkuyenge mkeo!

Anyway, ushauri wangu,
Kama wampenda mkeo tatua hilo tatizo kabla hajalijua fasta.

Achana na huyo demu mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesomeka mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina mke na mtoto mmoja. Hapa jirani ninapoishi kuna dada mmoja mkali yaani mzuri sana.

Sasa Kuna siku nilikutana naye dukani jioni saa moja nikamuomba namba akanipa. Baada ya kupeana namba tukawa tunawasiliana story za kawaida. Kadri siku zilivyokuwa zinaenda nikaanza kumtongoza akawa mkali na kunitolea nje akaniambia wewe una mke sitaki mazoea.

Kama ilivyo ada hakuna mkate mgumu mbele ya chai mwishowe akakubali tukaingia kwenye mahusiano. Sasa kilichonifanya mpaka niandike hapa ni kwa jinsi alivyokolea kimapenzi amefikia hatua anamuonea wivu wife. Akiniona na wife anachukia kinoma kufikia hatua hamsalimii mpaka wife kuna siku kaniuliza huyu dada kawaje siku hizi hanisalimii kabisa; nikapotezea sikumjibu kitu wife.

Sasa mdada ananisumbua ananipgia simu mpaka usiku, na nadhani lengo mke wangu ajue.

Yaani wanawake ni watu wa ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri hata wewe ni wa ajabu tu. Ulitegemea nini baada ya kutongoza na kukubaliwa. Na ipo siku itajulikana wazi wazi sijui siku hiyo utakana au utakubali. Yatakuwa ya kwako yote.
 
Siku na mke wako akianza kutoka Rafiki yako wa karibu ndo utajua wanawake ni wa ajabu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri hata wewe ni wa ajabu tu. Ulitegemea nini baada ya kutongoza na kukubaliwa. Na ipo siku itajulikana wazi wazi sijui siku hiyo utakana au utakubali. Yatakuwa ya kwako yote.
Dah, katika vitu vinavyoumiza kichwa ni kujulikana aisee najuta kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mke na bado unamchepuko yaan haitoshi kabisa mchepuko ni jirani yenu na anajuana na mkeo. Huna sifa za Mume ulimbahatisha tu ata huyo mkeo
 
Baadhi ya wanawake Mkuu usiwaweke wote kapu moja. Wengine hapo ungegegeda kimya kimya na akimuona mkeo anamsalimia kama kawa na wala hakusumbui na simu hatarishi kwenye ndoa yako.

Back
Top Bottom