Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Baadhi ya wanawake Mkuu usiwaweke wote kapu moja. Wengine hapo ungegegeda kimya kimya na akimuona mkeo anamsalimia kama kawa na wala hakusumbui na simu hatarishi kwenye ndoa yako.
Aisee Yule msichana anazingua tulikubaliana kimya kimya lkn saivi akimuona wife ananuna alikuwa anakujaga home sometime kuazima vitu vidogo sasa hivi amekata mguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usaliti ufanye wewe lawama upeleke kwa wanawake kapimwe mkojo haraka, Hayo ni madhara ukiwa unatongoza huku una mkosoa mkeo ili tu ukubaliwe ombi lako, Huyo mwanamke anamletea jeuli mkeo kwa kuwa wewe umetaka awe hivyo inaonesha ukiwa nae huwa unamkandia sana mkeo shwaini wahedi.
Hahhhahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku kapga simu saa 6 usiku nimelala nikaskia simu inaita kucheki ni yeye nikakata nakaizima kabisa bahati nzuri wife alikuwa kashaanza kupitiwa usingizi hakuusoma mchezo , kesho yake nawasha simu nakuta meseji kibao analalamika Oooh unanikatia simu kisa umelala na mkeo sawa tu nitakukomesha na Mkeo atajua me ni mke mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi yana RUN dunia by ALIKIBA
NDO UJUE MIOYO YA WANAWAKE WANAZAMAGA JUMLAJUMLA
 
Piga chini haraka sana kama unataka kuendelea na ndoa yako.

Kuna siku kapga simu saa 6 usiku nimelala nikaskia simu inaita kucheki ni yeye nikakata nakaizima kabisa bahati nzuri wife alikuwa kashaanza kupitiwa usingizi hakuusoma mchezo , kesho yake nawasha simu nakuta meseji kibao analalamika Oooh unanikatia simu kisa umelala na mkeo sawa tu nitakukomesha na Mkeo atajua me ni mke mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina mke na mtoto mmoja. Hapa jirani ninapoishi kuna dada mmoja mkali yaani mzuri sana.

Sasa Kuna siku nilikutana naye dukani jioni saa moja nikamuomba namba akanipa. Baada ya kupeana namba tukawa tunawasiliana story za kawaida. Kadri siku zilivyokuwa zinaenda nikaanza kumtongoza akawa mkali na kunitolea nje akaniambia wewe una mke sitaki mazoea.

Kama ilivyo ada hakuna mkate mgumu mbele ya chai mwishowe akakubali tukaingia kwenye mahusiano. Sasa kilichonifanya mpaka niandike hapa ni kwa jinsi alivyokolea kimapenzi amefikia hatua anamuonea wivu wife. Akiniona na wife anachukia kinoma kufikia hatua hamsalimii mpaka wife kuna siku kaniuliza huyu dada kawaje siku hizi hanisalimii kabisa; nikapotezea sikumjibu kitu wife.

Sasa mdada ananisumbua ananipgia simu mpaka usiku, na nadhani lengo mke wangu ajue.

Yaani wanawake ni watu wa ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Radi itakayokupiga, kwa sasa ivi imebidi ikafanye mazoezi kwanza
 
Wewe mwanaume ndio mty wa ajabu, unamdhalilisha mkeo kiasi hicho, unaniingiza kwenye mahusiano na mwanamke ambae anajua una familia unadhani atakuheshimu au kumuheshimu mkeo? Kinachofata hapo ni kukuharibia familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina mke na mtoto mmoja. Hapa jirani ninapoishi kuna dada mmoja mkali yaani mzuri sana.

Sasa Kuna siku nilikutana naye dukani jioni saa moja nikamuomba namba akanipa. Baada ya kupeana namba tukawa tunawasiliana story za kawaida. Kadri siku zilivyokuwa zinaenda nikaanza kumtongoza akawa mkali na kunitolea nje akaniambia wewe una mke sitaki mazoea.

Kama ilivyo ada hakuna mkate mgumu mbele ya chai mwishowe akakubali tukaingia kwenye mahusiano. Sasa kilichonifanya mpaka niandike hapa ni kwa jinsi alivyokolea kimapenzi amefikia hatua anamuonea wivu wife. Akiniona na wife anachukia kinoma kufikia hatua hamsalimii mpaka wife kuna siku kaniuliza huyu dada kawaje siku hizi hanisalimii kabisa; nikapotezea sikumjibu kitu wife.

Sasa mdada ananisumbua ananipgia simu mpaka usiku, na nadhani lengo mke wangu ajue.

Yaani wanawake ni watu wa ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri apate mimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom