Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Kwahiyo upumbavu wako wewe hujauona??
 
Kapimwe akili kwanza. Huoni aibu kuleta uzi kama huu humu wakati ukijua wewe ni mzinifu namba moja? Kama mke wako hakutosherezi, mpe talaka umchukue huyo uliyemtonzgozea dukani. Pumbafu kabisa wewe.
 
Mimi nina mke na mtoto mmoja. Hapa jirani ninapoishi kuna dada mmoja mkali yaani mzuri sana.

Sasa Kuna siku nilikutana naye dukani jioni saa moja nikamuomba namba akanipa. Baada ya kupeana namba tukawa tunawasiliana story za kawaida. Kadri siku zilivyokuwa zinaenda nikaanza kumtongoza akawa mkali na kunitolea nje akaniambia wewe una mke sitaki mazoea.

Kama ilivyo ada hakuna mkate mgumu mbele ya chai mwishowe akakubali tukaingia kwenye mahusiano. Sasa kilichonifanya mpaka niandike hapa ni kwa jinsi alivyokolea kimapenzi amefikia hatua anamuonea wivu wife. Akiniona na wife anachukia kinoma kufikia hatua hamsalimii mpaka wife kuna siku kaniuliza huyu dada kawaje siku hizi hanisalimii kabisa; nikapotezea sikumjibu kitu wife.

Sasa mdada ananisumbua ananipgia simu mpaka usiku, na nadhani lengo mke wangu ajue.

Yaani wanawake ni watu wa ajabu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe no ake nikupunguzie jam.. Atakuvunjia ndoa huyo, fanya hara hara kaka nakuomba[emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom