Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Wanawake ni viumbe wa ajabu sana

Kuna watu wa ajabu hadi unawaonea huruma waliomzaa!! Inamaana we huoni upuuzi ulioufanya unaona tu maajabu ya huyo fuska mwenzio
 
Umezingua sana.
1. Una mke na mtoto
2. Unamtongoza jirani?!!!!

-Unamuaibisha mkeo.
-Kama shida ni mademu, tafuta mbali msela wangu.

Embu fikiria kama ungesikia jirani yako anampiga mkuyenge mkeo!

Anyway, ushauri wangu,
Kama wampenda mkeo tatua hilo tatizo kabla hajalijua fasta.

Achana na huyo demu mapema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hapa nakuona wewe ndiye wa ajabu? Kuna wanaume wengine ni aibu tupu dunia hii. Yani akili hawana kabisa. Nahurumia wadogo zangu maana wakiangukia kwa li**tu kama hili ndoto zao zimeharibika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeharibu mwenyewe,huwezi kula jirani.Na kama ni mtu mzima anaweza kufanya maamuzi mabaya hiyo kitu isisimame,au akavunja ndoa yako.Ushauri, kuwa naye mbali kwa sasa,ikiwezekana block namba yake.
 
Sijui una akili za namna gani! Kuwa na haya, na kama haya ni ngumu kwako basi jiheshimu na kama kujiheshimu huwezi basi angalau mheshimu mke wako, na kama kumuheshimu huwezi basi angalau tambua uwepo wake.

Na hata kama ni kufurahisha jukwaa lakini kwa hii hali jitathimini(si kila jambo la kuanzisha Uzi)
 
Mkuu umetudhalilisha wanaume wenzio,kwanza kuwa na mchepuko ni kosa ilihali una mke, na kosa lingine kubwa ni kuwa na mahusiano na jirani yako,hapo umemdhalilisha hata mkeo na mwisho nasema wewe ni bonge la boya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom