Wanawake ni viumbe hatari sana duniani


Hayalingani ila mkome napenda kuona mwanaume anaumia raha sana
 
aisee hii kesi inauma sana!

miaka 9 si mchezo, kukata kiuno kooote unaambiwa mwana si wako? dadeki...

Utamu si umepata lakini mwanume lake kukojoa tu mengine mbwebwe
 
Na mie napenda kuona mwanamke anaumia yaaani ni bonge la utamu safi sana
 
tukubaliane Tu mtoto lazma afanane na baba km hatak kufanana hata kucha basi wanaume tuwakatae maana mpk dna tena..!
 
.....ukiona mtu mzima mamaaaa....analia ...mbele za watu...ujue kuna jambooo....
 
utapimaje DNA baada ya miaka 9??

alikuwa anamuamini sana mkewe! alienda kupima baada ya kukorofihana na mke kuongea kuwa "watoto sio wako" mbaya zaidi watoto walikuwa wanaoneshwa baba yao halisi then wanaambiwa wasimuambie baba anayewalea[ baba aliyesingiziwa!]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…