TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,852
- 2,054
alikuwa anamuamini sana mkewe! alienda kupima baada ya kukorofihana na mke kuongea kuwa "watoto sio wako" mbaya zaidi watoto walikuwa wanaoneshwa baba yao halisi then wanaambiwa wasimuambie baba anayewalea[ baba aliyesingiziwa!]
Uckute uyo rafik ako hana kizazi ndio maana wenzie wakamti.a mimba mkewe....haiwezekani watoto wote wasiwe wa uyo rafk ako