Wanawake ni viumbe hatari sana duniani

Wanawake ni viumbe hatari sana duniani

Si bora hata huyo amesema, wengine wanapiga kimya ..unashanga unamtoto kuanzi muenekano mpaka tabia tofauti kabisa na wenzie...

issue ni kupata mtu mtakae kuwa na lengo na nia moja kwamba tunaanzisha familia yetu... vingine ...fyeka mama fyeka mtoto kama ilivyo tokea kule Kahama....ndo unakuta mtu anaishia jela au kwenye hasira za wananchi
 
Watoto wa kusingiziwa ni janga la kitaifa sasa. Thanks to DNA test.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hamna mnyama hatari/mbaya duniani kuliko wote kama mwanadamu hasa wanawake anaweza akakufanya chochote kwa mda wwte.ishi naye kwa akili sana kama unavyo solve swali la hesabu
 
huyu jamaa kakimbia vita CONGO.
 
Punguzeni viepe,mnazalisha mbegu hazifiki hata kwenye fallopian tube!!!mnategemea kupata watoto?
 
Ukimwacha jiandae kuongezewa mwingine sijui ndo utampima polygraph kila baada ya kukupata taarifa ya ujauzito? Maana DNA inachelewesha maswala.


Ila tuseme tu ukiona umeoa na bado mkeo anachapwa nje, jichunguze kunatatizo tena kubwa sana, maana kwa uzoefu wangu KE ni waaminifu zaidi na waoga wa kuchapwa nao nje ndoa.

Men are selfish ukijua ukweli unamtimua hata bila kujali
 
Ana moyo na mvumilivu“kama mimi nikigundua ntamuhoji maswali 300 akishindwa kujibu namuondoa kwenye orodha ya watu duniani•
 
dawa nikupima DNA pindi tu mtoto anapozaliwa kama hufanani naye ili kuwa na maisha yasiokuwa na mawazo
 
nadhani kitu cha kibinafsi kabisa ni mwanamke kumnyia haki mtoto kumjua baba yake wa kweli ni yupi.

Nina ndugu yangu, mtoto wake wa pili si wa mumewe. Somehow tulikuja kugundua, kijana kawa mbaba tu wa over 45. Nikamshauri yule mama kwamba ni vizuri amwambie, akakataa kisa anaogopa mumewe aliye mtunza atajisikia vibaya.

Kila nikimwangalia huyo bro, roho inauma.
 
Si mnajisifia na michepuko aka nyumba ndogo zenu. As if hiyo michepuko haina wanaume. Women hawajisifii but they know where it hurts the most.

Imagine ugomvi wa kupelekea kumwambia mwanaume hivyo, ina maana kulikuwa na maudhi yaliyopelekea chuki ya hali ya juu ndio maana hakujali kama ukweli huo utamuumiza au vipi.

Upendo wenu wa kwanza uko wapi? Ishini kwa upendo muone kama hayo yatatokea.
 
si mjiwowe wenyewe kwa wenyewe!
oh kumbe hiyo tayar.
sasa mmimbane mpatemo watoto!
cha kufia nn?
 
Si mnajisifia na michepuko aka nyumba ndogo zenu. As if hiyo michepuko haina wanaume. Women hawajisifii but they know where it hurts the most.

Imagine ugomvi wa kupelekea kumwambia mwanaume hivyo, ina maana kulikuwa na maudhi yaliyopelekea chuki ya hali ya juu ndio maana hakujali kama ukweli huo utamuumiza au vipi.

Upendo wenu wa kwanza uko wapi? Ishini kwa upendo muone kama hayo yatatokea.

ukikuta wanasapotiana hapa hutaweza kudhani wakifanyiwa wao huwa inawakwangua namna hii!
sasa wajiwowe tu yesheeee!
 
Hahahahaha aiseee hii haiwezi kiwa kweli hata kidogo, in case ni kweli sisi wanyalu ni kujinyonga tu, sweela be
 
Hamna kitu kinachoumiza roho kama kusingiziwa na kulea mtoto kwa miaka yote hiyo bila kujua. Mwanamke wa hivyo hata sumu aweza kukupa.
 
WAPI NITAPIMA DNA BILA MASWALI MENGI WALA TATIZO NANI KIASI GANI NINAMASHAKA sana!
 
ukikuta wanasapotiana hapa hutaweza kudhani wakifanyiwa wao huwa inawakwangua namna hii!
sasa wajiwowe tu yesheeee!

Wajiwowe mara mbili? Maana juzi tu walikuwa wanagombea haki za kujiwowa.

Yaani wanaboa sana wanavyojisifia infidelity, sisi tunawapa ya chini chini yanaouma zaidi.

Mambo yako lkn?
 
Back
Top Bottom