Mkuki kwa nguruwe...!?
mtenda akitendwa...?
huyu jamaa isingemuuma endapo kuanzia mwanzo angejua kuwa huyo mtt sio wake.. kinachouma ni kufichiwa ukweli ukadhani mzazi kumbe mlezi..
wewe unapewa kbs taarifa kuwa nina mtt nje unakubali.. tatizo liko wapi wakt unajua kbs kuwa kiumbe unacholea sio chako?? hayo maumivu yanalingana?
aisee hii kesi inauma sana!
miaka 9 si mchezo, kukata kiuno kooote unaambiwa mwana si wako? dadeki...
Men are selfish ukijua ukweli unamtimua hata bila kujali
Kinakuwa kesi mfyuuuuuuuu
Sawa mkuu kumbe inauma .. sisi.tunavyolea wa kwenu mnaona ni tamu kwetu kwenu chungu....... akome
hapana mkuu...we kabila la onyango eeh?????
unafurahia ushetani!!Safi sana kujitia mnapenda mpaka mnapofuka
hahahaaa! siku ng'ombe dume akipandwa na jike hakukaliki... kuweni tu wapole mnapotendwa na jameni!
yote sio sawa kukimbia/kusingizia...ila kwanini uongope siku zote hizo kama ukweli unamjua baba ya mtoto?
Sawa mkuu kumbe inauma .. sisi.tunavyolea wa kwenu mnaona ni tamu kwetu kwenu chungu....... akome
hapana mkuu...
why u so bitter...?!!!
utapimaje DNA baada ya miaka 9??