Wanawake ni pasua kichwa/ishi nao kiakili

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Kuna jamaa amefanikiwa kuoa na kupata mtoto mmoja,ila katka ndoa yao changamoto ni dini(islam + kristo) ikafikia hatua mwanamke akapoteza upendo kwa mwanaume na mwanaume akatoka nje ya ndoa akafanikiwa kumchimbia binti(islamic) mwingine asa yule wa mwanzo(kristo) anataka arudiane kwakuwa amegundua makosa yake na anaomba asamehewe(ila bint hajui kama jamaa kachumbia mwingine) na pia bint yuko tayari abadili dini waishi pamoja kutoka ukristo kuja uislam ila wazazi wake binti hawajui.Je hatoendelea kumsumbua jamaa?? Wadau mumsaidie kuijadili hiyo hoja.
 
inshu ndogo sana waelewane wao wenyewe hoja zetu wala hazitawasaidia kitu km wao hawaelewana
 
wakae wayajenge na ka ni wewe ka na mwenzio mzungumze mmalize tofauti zenu maaana watu wakiamu kukaa pamoja kwa kutafuta amani na suluhu hakuna kitakachoshindikana
 
Kuna jamaa amefanikiwa kuoa na kupata mtoto mmoja,ila katka ndoa yao changamoto ni dini(islam + kristo) ikafikia hatua mwanamke akapoteza upendo kwa mwanaume na mwanaume akatoka nje ya ndoa akafanikiwa kumchimbia binti(islamic) mwingine asa yule wa mwanzo(kristo) anataka arudiane kwakuwa amegundua makosa yake na anaomba asamehewe(ila bint hajui kama jamaa kachumbia mwingine) na pia bint yuko tayari abadili dini waishi pamoja kutoka ukristo kuja uislam ila wazazi wake binti hawajui.Je hatoendelea kumsumbua jamaa?? Wadau mumsaidie kuijadili hiyo hoja.
Wakishaingia kwenye ndoa na huyo wa kwanza vita vitataradani,ugomvi utaongezeka zaidi...ndoa inaombwa mtu yulo tayari hata kujishusha ili aingie ndoani,atafakari sana
 
Ukielewa dhana nzima ya dini hizi tulizoletewa sidhani kama zitakuumiza kichwa mtu kiasi hicho.
 
Back
Top Bottom