Wanawake ni kiboko aisee

Wanawake ni kiboko aisee

Habari za asubuhi wazee,

Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na energy drink, ili nicheki mpira (kombe la dunia fresh).

Aisee kumbe nimefanya bonge la mistake, ile mbaya, asubuhi imefika tu ile naamashwa na wife kuulizia buku mbili yake na ugomvi juu, hawa viumbe na hela achana nao kabisa.
Braza ulifanya makosa makubwa Sana ambayo hapa wahuni wengi hawatakuambia

1. Kwanza kwa nini uchukue bila kuomba au kutoa taaaarifa? Ulijua alipanga kutumia vipi? Kama akijipa sabuni au chumvi ili akalipe huoni umemtia hasara?
2. Wewe Mwenyewe Umerudi usiku huna hata Mia, lakini kwa ubinafsi wako ukaoni uchukue 2k kwenye Mjomba ili unywe maji baridi na energy huku unaburudika na soka. Huo ni ubinafsi kujijali.

3. Umerudi uko kappa mfukoni ,mwenzako kaweka akina ya Dagaa siku inayofuata ili watoto wake hapo ugali huoni umefanya kosa kubwa?
Yote kwa Yote ungemuomba asingekunyima pamoja na kuwa mnaukata wa fedha kwa sasa
 
Pole sana ,mwanamke hata Tsh 100 ni kubwa sana kwake.
 
Naelewa ni makosa ila tafsiri yake haendani na uzito wa pesa ,ila reaction yake ndio nimeshangaza aisee as if nimechukua kwa mtu baki wakati mimi na yeye ni mwili mmoja
Mbona zangu anachukua hata mara mia moja zake huku natabasamu tu ila yeye elfu mbili ,mpaka natamani masaa yarudi nyuma
 
Jinsi mnavyopandisha nyuzi humu kuhusu ubaya wa ndoa, nauliza hawa wanawake wa aina hii ninyi mnawaokota wapi.
Kaka kama hujaoa kaka tafakari mara mbili ,nasema ukweli ,kwenye uchumba ni malaika hata wanaweza kukaa miaka miaka mitano kimya sasa weka ndani ndio utajua ndoa ni ndoano,wanje ni nje na wandani ni ndani
 
Habari za asubuhi wazee,

Niende kwenye mada mojamoja jana usiku nimerudi home sielewi lile wala hili mfukoni sina kitu si nikaona ebu nichukue buku mbili kwenye mkoba wa wife, nikanunua maji na energy drink, ili nicheki mpira (kombe la dunia fresh).

Aisee kumbe nimefanya bonge la mistake, ile mbaya, asubuhi imefika tu ile naamashwa na wife kuulizia buku mbili yake na ugomvi juu, hawa viumbe na hela achana nao kabisa.
Yaani huyo ni mkeo?
 
Pesa ya hawa jamaa Iko attached na roho zao, Yani hata sumuni haidondoki Kwa mwanaume otherwise Kwa kiben 10 chake ova.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom