Wanawake ni kama watoto

Wanawake ni kama watoto

Mkuu labda ulitaka kumaanisha wanawake wanahitaji malezi kama watoto yaani kuonyeshwa upendo na kuwajali kila muda ila umeshindwa kuufikisha ujumbe vizuri ndo maana wadau wamekucharukia
 
Mwanamke akili zake ni kama mtoto mdogo. Mtoto ukimzoesha kumtuma dukani chenchi unamwachia, siku usipompa chenchi haendi tena.

Mwanamke yupo hivyo hivyo, mwanamke hata akiwa na degree mia moja atalalamika tu. Ukitaka kuamini utawaskia "tunataka haki sawa", halafu huyo huyo utamskia anasema "mkituwezesha tunaweza".

Sasa kwanini wasijiwezeshe, ina maana hana utofauti na mtoto?
Sasa wewe mwenyewe unamuita "baby "halaf unategemea nn? U wl reap what u sow
 
Mwanamke akili zake ni kama mtoto mdogo. Mtoto ukimzoesha kumtuma dukani chenchi unamwachia, siku usipompa chenchi haendi tena.
Huyo huyo mtoto ndiye aliye kuzaa,akakulea,akakusimamia usome ili ujue kuandika, then leo hii uje kumwita mtt.
Huna maana, silly boy
 
Back
Top Bottom