VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Lakini hawa kina dada kama hawakupendi au wamekuchukia pia wanaweza fanya vitendo vya kinyama usiamini . MfanoKuna cases kama tatu ambapo mwanamume anamtelekeza mke na watoto, mojawapo jamaa alitelekeza familia yake na kwenda kupiga maraha na wanawake wengine, bahati mbaya ugonjwa wa kupooza ukamsibu na kimada wake akamkimbia . lakini yule mke aliyetelekezwa hakusita kumsamehe bwana yake na ni yeye ambaye anampa huduma na kumlea yaani amesamehe yote na wala hakutaka kisasi
Kwahiyo hii imenifanya ni conclude wanawake they can be very good au very very bad . ni kuomba Mungu utakayekutana nae awe the former na sio the latterKuna cases ambazo unakuta bwana anamgharimikia mchumba wake na mwisho wa siku anapigwa kibuti na kupewa maneno ya kebehi . kuna jamaa alikuwa na mchumba wake basi akaona sababu yeye halikuwa hajasoma bora ampeleke mchumba wake shule ili waje wafanikishe maisha . Baada ya huyu msichana kumaliza chuo na kupata boyfriend mwingine eti akamkataa jamaa eti hawezi kukaa na mtu asiye na elimu .. yaani hata asante hakumpa ..
Adui wa mtu ni mtu kaka.. Only a human being cn change another human being.. So ukikuta mwanamke ameumizwa kupita maelezo oh yeah we cn be absolute she devils..
Beware of a Woman Scourned..... Ukikutana na mwanamke amekuchoka au amekuchukia hivyo visa utajuta kuzaliwa...... Wanawake they are better kwenye hii fani ya upendo na chuki kuliko wanaume...Ubora wa mkaka mbaya uko wapi??Mtu mbaya ni mbaya tu bwana...mwanamke au mwanaume!
Beware of a Woman Scourned..... Ukikutana na mwanamke amekuchoka au amekuchukia hivyo visa utajuta kuzaliwa...... Wanawake they are better kwenye hii fani ya upendo na chuki kuliko wanaume...
True ila kama alivyosema Atoti hapo juu wengi wanakua wamesukumwa kua hivyo!Kwahiyo kama hutaki kuuona huo ushetani treat watu wengine vizuri!Mwenyewe umesema akikuchoka au akikuchukia...mpaka hapo unajua chanzo ni wewe maana mtu kukuchukia bila sababu ni nadra sana!
kuna jamaa alikuwa na mchumba wake basi akaona sababu yeye halikuwa hajasoma bora ampeleke mchumba wake shule ili waje wafanikishe maisha…. Baada ya huyu msichana kumaliza chuo na kupata boyfriend mwingine eti akamkataa jamaa eti hawezi kukaa na mtu asiye na elimu….. yaani hata asante hakumpa…..
VOR,
that isnt mutually exclusive, hata mkaka akikuchoka ndio worse zaidi na akikupenda utajiona uko on top of the world.
Hapo hamna chuki ni dharau tu VoR!Ukimsaidia mtu akaja kukunyanyasa na ulimchopa sio kama anakuchia ila anaona huendani nae tena!Ye anajiona amekua matawi na wewe sio saizi yake!Kina kaka wa aina hiyo nao wapo sana tu...unamsaidia mtu alafu anachopata anaenda kutafutia mwanamke mwingine!
bnadamju wote ni malaika na mashetani it DEPEND ON CIRCUMSTANCES.
kila mtu ni malaika ushetani ni hisia za mtu tuu,,,,
Basi mimi nakusahihisha!Kuna wanaume wana vituko visivyoelezeka!!Tena bora mtu anaekuambia live unajua mawazo yake juu yako kuliko huyo anaekupiga saundi kumbe ana zaidi ya chuki na wewe alafu anatoa hisia zake hizo kwingine we ukijua mi na fulani wala hatuna uadui...kumbe hujui tu!kwa mambo ya upendo (love), hapa ni bora vituko vya mwanaume kuliko mwanamke (but i stand to be corrected)
Point of correction my dia,u cant know how it hurts to be pinched if you havent had 1,.if u r a guy,u cant know what women go through,.now..wth wat you have said,hujawah kukuta mwanaume amemchoka mwanamke my dia,yani unaeza hata kuletewa mwanamke mwngne hapo ndani,kipigo,maneno,.kuna watu wamepoteza watoto wao due to domestic violence,MEN CAN BE MONSTERS,just lyk women who r mostly pushd by men to be that way,but Men,wanaeza kukutana na kimada huko ukapokea wewe kipgo!my thoughts.its all about controlling your emotions..... Nina uhakika kwamba kila mtu yupo capable kufanya anything it just depends ni kiasi gani he/she amebanwa kwahiyo my point ni kwamba..... Stay away.... and beware of a woman scourned......, kwa mambo ya upendo (love), hapa ni bora vituko vya mwanaume kuliko mwanamke (but i stand to be corrected)