Wanawake ndiyo chanzo cha wanaume wengi kuchepuka

hata mwanamke ajitetee vipi bado mtamwOna ni shetan huku mnajipa hadhi y UMALAIKA Muda wote,,,,,,, mada km hiz znanikera.
 
Sio kweli, ndo maana ya kuchunguzana kabla ya ndoa. Atakaeanza kubadilika ni tabia yake toka awali ila hukuiona tu maana ulikuwa hujui unataka nini na kama uliiona na ukapuuzia ujue huo ni msalaba wako.
Hivi unadhani binadamu unaweza ukamchunguza tabia ukazijua zote kwa 100%..?? Binadamu huyu ambaye ukimmwagia maji ya baridi reaction inakuwa tofauti na akimwagiwa maji ya moto..?
 
Hapana bwana mleta mada unawasingizia watoto wa kike. Kitendo cha mume kushinda baa nakurudi usiku hii tabia ya mume mwenyewe. Ndoa si chungu kama ulivoielezea.... mwanamke ni kiumbe cha kupokea toka kwa mumewe.... ni watu wenye hofu zao juu ya waume zao, ukiweza kuitumia akili ya mke wako vzr utaishi miaka mingi. Au kwa lugha rahisi sana ni kuwa ukiweza kumheshimu,kumjali,kumthamini na kumpenda mke wako kwa moyo wako wote nae akakupenda kwa moyo wake wote hutatamani hata Yesu arudi......
 
hahaaa..... wanaume bwana.. mnapenda kuendesha mtu kama gari... ila ujue hata gari ukielekea wrong side linapata ajali...
ukishindwa kufunga Break navyo hivyo hivyo.
wanawake huwa tuna ishi kucope na mazingira.
ukiona mkeo kabadilika jua umebadilika mara mbili zaidi.
Assess yourself first.
vice versa its true
 
Back
Top Bottom