kweli mkuu hata mi nakuunga mkonoİnasemekana viongozi wa nchi duniani wangekuwa wanawake kwa idadi ya wanaume viongozi wa sasa, dunia ingekuwa imeshateketea.
İnasemekana.
ukatili hauna jinsia.............
İnasemekana viongozi wa nchi duniani wangekuwa wanawake kwa idadi ya wanaume viongozi wa sasa, dunia ingekuwa imeshateketea.
İnasemekana.
Wanawake wamezidi asee.
Nenda pale Muhimbili uone manesi wanavyowanyanyapaa wanawake wenzao.
Wanatisha asee
Hii inasemekana kutokana na wao kufanya vitendo vingi vya kikatili kama Kumuua hata mtoto aliye mzaa.
Kushiriki sana kwenye uchawi na idadi kubwa ni wanawake na hata kuwaua waume zao.
nahisi itakuwa hivyo....huwezi jua labda ni dadake na mamake ndio anaowazungumzia hapa.
we mwenyewe hapo nikatili tayari umemdhalilisha mama yako aliyekulea mpaka ukajielewa.
Ni kweli WANAWAKE NI VIUMBE WENYE ROHO MBAYA KULIKO VIUMBE WENGINE DUNIANI.
Ushahidi.
1.Huweza kuua hata mtoto aliyemzaa kwa Uchungu mwingi mara tu baada ya kujifungua.
2.Hutesa kizazi chake kwa njaa,Pesa apeleka kwenye UPATU
3.Kukosa chembe ya huruma
4.Endeleza......
Ni uzushi kwa wote mnaotumbukiza misalani km ww.