KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Hi nyie akina Dada huwa mnajua kuwa huyujamaa na kunisaidia kote huku lazima ananitaka??
Au huwa mnajikuta jamaa kakushtukiza na sound mara umejaa makitu Kabang!!!
Na kama unamjua kuwa huyu lazima atanitokea je huwa mnajiandaa vipi na majibu?Mbona baadae hukuta jamaa kaisha kujaza katika 18 na umejaa??
Au mtu akishakupa sign basi na wewe lazima uonyeshe sign kama na wewe ume accept??!