Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,076
- 5,871
Hapo VIP!
Hii nitabia ya wanaume masikini, na wenye sura mbaya(weusi) kwenye mahusiano.
1.wanajali sana kwasababu hawana cha kumpa mwanamke zaidi ya caring,asipofanya hivyo ni raisi kuachwa SAA 12 asubuhi..hapa hakupendi usijidanganye,hapa anafidia pengo la umasikini Na sura mbaya.
2.Atakutumia SMS nyingi Kwa siku kwa sababu ya inferiority complex dhidi ya handsome Na wanaume matajajiri..Angekuwa handsome au tajiri atajiamini Na hawezi kutuma tuma SMS nyingi.
3.Hawa Jamaa wanalinda mwanamke kama analinda bank kwasababu ya inferiority complex...hapa mwanamke anaona anapendwe kumbe Huyo Jamaa akipewa uhandsome au utajiri anaachana Na hiyo biashara.