Wanawake Nawakumbusha. Acheni Usaliti.

Wanawake Nawakumbusha. Acheni Usaliti.

Kama ni mke unahaki ya kupiga kelele.
Lakini kama ni mpenzi hata usijisumbue maana sasa hivi ni normal kukuta mtu ana wapenzi 10 na anawamudu vizuri tu.
Sio kabisa wanawake ni wasaliti sana yaan mpaka nimeandika jua kuna jambo limenigusa sana, wanawake wapunguze usaliti
 
Hahhaa how happy I am! Oga pendeza jitoe out there’s more to life😅
Unaoga unapendeza kisha unaenda kukwea gari ya maana usiku analipaki gizani anakuvua chupi na kukugonga ndani ya gari halafu jamaa yako unamwambia nipo kwa brother sehemu fulani si ndio? Ukirudi huko jamaa akiomba game unamgomea kumbe umetoka kuvuliwa ndani ya gari la mjinga mmoja
 
Back
Top Bottom