Kila siku naona mijadala humu kwamba heshima pesa, shikamoo makelee, pia mnasema kama huna pesa wanawake wakali utaishia kuwaita shemeji tu.
Mimi nina kila kitu lakini wanawake wakali, wenye shape za hatari, walioumbika kwa ile namba 8, waliojaliwa neema za allah kila nikiwatupia ndoano wanatema.
Nini tatizo ili nijipime?