Wanawake nao waanze kutuhonga sisi wanaume

Wanawake nao waanze kutuhonga sisi wanaume

Mimi kuna mwalimu nimempiga chini juzi. Yaani nampelekea moto hadi anakiri kwamba hajawahi kupata hizi raha usichana wake wote.

Na yeye ndie msumbufu kunihitaji mimi kuliko mimi kumuhitaji yeye.

Ajabu yake anataka niwe nampa hela wakati kazi yote kitandani nafanya mimi.

Sasa mtu kama huyu inabidi yeye ndio anipe hela mimi. Kapata nyongeza serikalini lakini hatosheki

Kazi kuniambukiza U.T.I tu... mxeeew!
Kama vp toka baruti
 
Mbona wanawake wanatoa hela Mkuu Ila Kwa wenye vigezo vyao.
Ukiona hujawahi kupewa pesa na Mwanamke jua huja-meet vigezo vyao.

Mwanamke akikupenda sana, tena Ile Sana alafu akawa na pesa kukuhonga ni kitu cha kawaida Sana.

Note: Pesa ya mwanamke ni yamoto. Haikosi masengenyo iwe sasa au baadaye.

Na Kwa vile wanaume wengi hatupendi masengenyo ndio maana tunazikataa
 
Sasa ni muda muafaka kwa wanawake nao, kuanza kuwahonga wanaume ili wawe nao kwenye mahusiano.

Haiwezekani, miaka nenda rudi, sisi wanaume ndio tunakuwa tunawahonga au kuwashawishi wanawake kuwa nao kimahusiano.

Hii sio sawa; kama mnadai haki sawa, basi na nyie wanawake anzeni kutuhonga; kwa sababu kwenye mahusiano, wote tunapata starehe; hakuna anayepata starehe zaidi ya mwingine.

Haya mambo yakutufanya sisi wanaume vitega uchumi, hapana kabisa.

Mabadiliko yanaanza kuanzia sasa​
Si tuliongea mkuu unafail wapi.........ukija uje na nguo ulizovaa tu zingine ntakununulia hukuhuku
 
Soon mtataka wanawake waanze kuwaingizia dildo ....

Tambua nafasi yako
 
wanaonga sana, maana nilishaongwa hadi kiwanja aise da!
 
Hivi tabia ya wanaume kutafuta kulelewa au mteremko inaitwaje?
Wakati nipo Arusha, kuna dada mmoja raia wa Australia alikuwa akisema twende outing siku za weekend nikisema sina pesa alikuwa anakuja na gari kunichukua kisha kila kitu analipa yeye. She was younger than me.
 
Aibu inawatawala, akikataliwa anajisikia vibaya. Mwanaume hajali kukataliwa na hakati tamaa.
 
Back
Top Bottom