Wanawake nao waanze kutuhonga sisi wanaume

Sasa ni muda muafaka kwa wanawake nao, kuanza kuwahonga wanaume ili wawe nao kwenye mahusiano.

Haiwezekani, miaka nenda rudi, sisi wanaume ndio tunakuwa tunawahonga au kuwashawishi wanawake kuwa nao kimahusiano.

Hii sio sawa; kama mnadai haki sawa, basi na nyie wanawake anzeni kutuhonga; kwa sababu kwenye mahusiano, wote tunapata starehe; hakuna anayepata starehe zaidi ya mwingine.

Haya mambo yakutufanya sisi wanaume vitega uchumi, hapana kabisa.

Mabadiliko yanaanza kuanzia sasa​
Wewe babu nikuhonge nimekosa nini au utakuwa ulikwenda kwa mwamposa ukajipaka mafuta yake ya upako
 
Malezi anayotoa ni ya standard gani?, kama pesa nzuri toa contacts zake, vijana tupo
Shangazi huyo hapo yupo Mbweni
-1724865132.jpg
 
Hizi ni zama za 50/50.

Toa Kichulu upewe Kichulu.

Toa hela upewe hela, mwanamke wa kumpa pesa ni mke na mama pekee ova.

Tena hapo KWA mke ni 50/50 mpaka upuuzi wa haki sawa uishe
 
Kwa uwiano uliopo sasa, mwanaume/mwanamke ni 1:9 ; msipojifunza kuhonga, jiandae kuzeeka mwenyewe
Wapi wewe wakuzeeka ni wewe na leo pale moshono stend nimemuona wife ni kamwita akawa hanijui nikamwambia mumeo anamichepuko kibao huko alipo anaandika kila daily ni kamwonyesha post zako saivi ninavyokuambia muda sio mrefu utapumulia gesi why umeandaliwa kipigo cha wife na ndugu zako fimbo 60 kwa kutotulia na ndoa yako.
Ila mkeo mkali hajazeeka na zile dimpoz ila kaka umezidi shauri yako .

Wachagga mnakwama wapi??
 
Umewachokoza wanakuja kukulipua sasa hivi muda sio mrefu utapewa majina ya mario, kibenten, dume suruali n.k. hawa wenzetu zile mbwembwe zao za 50/50 na ile kauli ya lady is first application zake wanataka ziwe kwenye mambo matamu tu na ambayo hayawaingizi gharama
Wanaongelea haki sawa ila ni sehemu lakini laini..
Sioni haki sawa kwenye construction sites, Udereva, kuchimba mitaro ..

Kunichukua mimi kama mimi na kunitumia pale ambapo ninapokuwa nimepata huduma Fulani kwake, au bidhaa ..
 
Wapi wewe wakuzeeka ni wewe na leo pale moshono stend nimemuona wife ni kamwita akawa hanijui nikamwambia mumeo anamichepuko kibao huko alipo anaandika kila daily ni kamwonyesha post zako saivi ninavyokuambia muda sio mrefu utapumulia gesi why umeandaliwa kipigo cha wife na ndugu zako fimbo 60 kwa kutotulia na ndoa yako.
Ila mkeo mkali hajazeeka na zile dimpoz ila kaka umezidi shauri yako .

Wachagga mnakwama wapi??
Tatizo lenu, msipotongozwa mnalalamika kuwa mna nuksi
 
Wenzio Wana kazi kubwa kuliko wewe.tuwaonee huruma wanakutana na mengi tuwape tu.
nikishakula black cobra au royal honey lisaa lizima ananibeba tu.
Ni majasiri hao.kazi yao ngumu
 
Wanaongelea haki sawa ila ni sehemu lakini laini..
Sioni haki sawa kwenye construction sites, Udereva, kuchimba mitaro ..

Kunichukua mimi kama mimi na kunitumia pale ambapo ninapokuwa nimepata huduma Fulani kwake, au bidhaa ..
Hata vitani wanawake hawaendi kwenye uwanja wa mapambano ila maisha yangu yote sijawahi kusikia mwanamke ambae anapigania haki ya wanawake nao waende front line kulipuliwa mabomu
 
Sasa ni muda muafaka kwa wanawake nao, kuanza kuwahonga wanaume ili wawe nao kwenye mahusiano.

Haiwezekani, miaka nenda rudi, sisi wanaume ndio tunakuwa tunawahonga au kuwashawishi wanawake kuwa nao kimahusiano.

Hii sio sawa; kama mnadai haki sawa, basi na nyie wanawake anzeni kutuhonga; kwa sababu kwenye mahusiano, wote tunapata starehe; hakuna anayepata starehe zaidi ya mwingine.

Haya mambo yakutufanya sisi wanaume vitega uchumi, hapana kabisa.

Mabadiliko yanaanza kuanzia sasa​
Masihara hayo, kwanza haipendezi
 
Watawapinduapindua
 
Back
Top Bottom